Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Nakumbuka sn hicho kipindi mkuuSheikh wa kenya? Huko umeenda mbali, hapa hapa bongo Kuna Mtu akiitwa sheikh illunga, kipindi kile 2012-13 alikuwa alisema waziwazi kuwa mkristo haki yake ni kupigwa risasi.
Walitoa cd za kila namna, na Kama unakumbuka kipindi hicho matukio ya ugomvi wa kidini yalikuwa mengi sana
Walikuwa wanamfamya sn ziara mikoani Wenyewe wanaita daawa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app