Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Walihusika kuua Padri, kumwagia tindikali, kuchoma kabisa na kutukana nyerere na muungano, kutaka waislamu waue wakristo huko visiwani na bara. Hawa ni magaidi sio waislamuWengi wanaochangia humu tayari wameshawahukumu hao masheikh kuwa ni magaidi, kwamba ni watu wabaya, watu hatari
Lakini mpaka sasa mwaka wa nane hakuna ushahidi wa Ugaidi wao, kesi yao inapigwa danadana...
Mkuu pole sn,komenti yako ulisoma Kwa sauti imekaa uchungu sana.Wengi wanaochangia humu tayari wameshawahukumu hao masheikh kuwa ni magaidi, kwamba ni watu wabaya, watu hatari
Lakini mpaka sasa mwaka wa nane hakuna ushahidi wa Ugaidi wao, kesi yao inapigwa danadana...
Shida inakuja pale ambapo wakitolewa nje wataanza kurecruit vijana waende msituni kwa maslahi ya mabeberu. Ina kinachotokea msumbiji na kenya ni masheikh chuo waliovaa ngozi ya kondoo lakini rohoni ni chui. Hivi boko haram si inafadhiliwa na mabeberu lakini wanachinja ndugu zao kea jina la Allah!? ukiona serikali imekomaa kuwaweka mfano ujue wanao ushahidi wa kuridhizha usio na mashaka kuwa hao wakitoka nchi haitawaliki.Mnao waoneaga huruma hawa magaidi hivi hamfuatilii kinachoendelea Msumbiji jinsi majitu type hii yanavyo chinja wenzao. Kuweni serious bhana
Nadhani tusiseme waliohukumiwa japo inawezekana kukawa na wengine wameonewa ila kwa kuwa walishahukumiwa ni vigumu kusema nani kaonewa na nani hapana maana ukisha hukumiwa unaweza kukata rufaa, shida ni hawa wanaokaa rumande miaka bila kupelekwa mahakamani ili wasikilizwe na hukumu itoke.Hoja yako ingenoga kama ungewasemea wote walio magerezani kwa kubambikiziwa kesi...
Hii kuwatetea mashehe peke yake imekaa kibaguzi sana..
Wangekuwa wamefanya hayo bila shaka mashitaka dhidi yao yangetaja vitu hivyo, lakini hakuna hilo suala kwenye mashitaka yao.Walihusika kuua Padri, kumwagia tindikali, kuchoma kabisa na kutukana nyerere na muungano, kutaka waislamu waue wakristo huko visiwani na bara. Hawa ni magaidi sio waislamu
Siku moja nipo zangu home nafua nguo zangu,jirani yangu chumba cha pili alifungulia redio kwa sauti alafu akaacha mlango wake wazi..alikuwa anasikiliza mawaidha ya shehe mmoja wa Mombasa(simjui jina lake Ila sauti yake maarufu sn masikioni kwangu)Halafu mbona sikii viongozi wa kikristo kukamatwa au kuwa uko magerezani, inamaana ni watakatifu sana au ni nini zaidi
Guantanamo Bay wengi walionewa, na Guantanamo bay haikuwa sifa njema kwa Marekani.Kwenye hili tuwe wapole, siyo suala la Kisiasa. Hata USA George Bush na baadaye Obama waliwaweka magaidi Guantanamo hadi walipojirishisha.
Naamini hata wewe Missile of the Nation ungekuwa ni Rais wa Tanzania halafu Muislamu, baada ya kusoma ripoti ya Siri usingewaachia....
Cc. mazingeSiku moja nipo zangu home nafua nguo zangu,jirani yangu chumba cha pili alifungulia redio kwa sauti alafu akaacha mlango wake wazi..alikuwa anasikiliza mawaidha ya shehe mmoja wa Mombasa(simjui jina lake Ila sauti yake maarufu sn masikioni kwangu)
Yule shehe alikuwa anafundisha Kwa lugha kali sn yenye misimamo ya kikatili dhidi ya watu wasiokuwa waislamu (alikuwa anawaita makafir),waumini wanaitikia takbiiir
Kukujibu swali lako sista ni kwamba ni ngumu sn kumkuta kiongozi wa kikristo anahubiri Kwa chuki na lugha yenye kuashiria uvunjifu wa Amani,na km wapo lazima wakamatwe pia
Hata mashehe si wote wenye kuhubiri Kwa lugha zenye ukakasi ndiyo maana tunaishi nao Tu mtaani vizuri
Tafuta mahubiri ya Yule shehe mkenya aliyeanzisha kikundi cha kigaidi kule Palma msumbiji ndy utaelewa ninachozungumza Kwa nn watu wa Aina hii hatuwaachi mtaani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sheikh wa kenya? Huko umeenda mbali, hapa hapa bongo Kuna Mtu akiitwa sheikh illunga, kipindi kile 2012-13 alikuwa alisema waziwazi kuwa mkristo haki yake ni kupigwa risasi.Siku moja nipo zangu home nafua nguo zangu,jirani yangu chumba cha pili alifungulia redio kwa sauti alafu akaacha mlango wake wazi..alikuwa anasikiliza mawaidha ya shehe mmoja wa Mombasa(simjui jina lake Ila sauti yake maarufu sn masikioni kwangu)
Yule shehe alikuwa anafundisha Kwa lugha kali sn yenye misimamo ya kikatili dhidi ya watu wasiokuwa waislamu (alikuwa anawaita makafir),waumini wanaitikia takbiiir
Kukujibu swali lako sista ni kwamba ni ngumu sn kumkuta kiongozi wa kikristo anahubiri Kwa chuki na lugha yenye kuashiria uvunjifu wa Amani,na km wapo lazima wakamatwe pia
Hata mashehe si wote wenye kuhubiri Kwa lugha zenye ukakasi ndiyo maana tunaishi nao Tu mtaani vizuri
Tafuta mahubiri ya Yule shehe mkenya aliyeanzisha kikundi cha kigaidi kule Palma msumbiji ndy utaelewa ninachozungumza Kwa nn watu wa Aina hii hatuwaachi mtaani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapana, waliwekwa ndani na sheikh mwenzao wa visiwani na sheikh mwingine wa Bara; nakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2015, Lowassa akiwa Chadema aliahidi kuwafungulia hawa masheikh endapo atachaguliwa kua rais wa Tanzania, sheikh Abrahman Kinana akaiandikia jumuia ya kimataifa kuhusu hatari ya kuwafungulia masheikh hawa, akalinganisha yaliokua yanatokea Somalia na uhuru wa hawa watu; so sijaelewa kwanini Magufuli kaingizwa kwenye hu mgogoro wa masheikh ili hali waliwekwa ndani na msheikh wenzaoHao mashehe waliwekwa ndani na Wagalatia?
Ramadan Kareem!
Ugaidi wa zanzibar na arusha?Unajua kuna baadhi ya watu ujinga ni sehemu ya maisha yao.Mashekh ni magaidi walitaka kuifanya Tanzania kama Somalia halafu kuna mijitu inakuja hapa kubwabwaja eti waachiwe!.
Kwa taarifa yenu mpaka Mwaka huu bado watu wana endelea kukamatwa kuhusiana na ugaidi wa Zanzibar,Arusha na huko kusini.Ukiona unakula ugali wako kwa amani basi elewa kuna watu hawalali usiku na mchana kuhakikisha taifa libakuwa salama.
Hao Mashekh na wengine wote wakioshiriki matendo ya kigaidi hawastahili uhuru kama mwanzisha mada ,yafaa waishi huko magereza maisha yao yote.
Kipi hicho msichotaka kukisema?Ungejua kwanini hawaachiwi ungenyamaza kimya ndio maana aliyewaweka ndani JK ni Mwislamu, IGP alikuwa Mwislam na Mwanasheria mkuu alikuwa mwislam.
so kuwa mpole wanyooshwe wakitoka watamsumbua saana mama
Una uhakika kama uamsho walikua magaidi? Mbwa weMnao waoneaga huruma hawa magaidi hivi hamfuatilii kinachoendelea Msumbiji jinsi majitu type hii yanavyo chinja wenzao. Kuweni serious bhana
Una uhakika! Mbwa we Koko weUnajua kuna baadhi ya watu ujinga ni sehemu ya maisha yao.Mashekh ni magaidi walitaka kuifanya Tanzania kama Somalia halafu kuna mijitu inakuja hapa kubwabwaja eti waachiwe!.