Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Naunga hoja mkono. Maana kama hatuzitaki tungeshinikiza zitolewe.
 
Wananchi waliomshauri ni wa huko Ulemo? Ni utaratibu upi aliotumia kupokea huo ushauri? N8 watu wangapi walihusika? Njia ipi zilitumika kwenye uamuzi wa kuona kuwa ushauri huo ulikuwa unawakilisha ushauri kutoka kwa wananchi walio wengi?
 
Hayo maoni ya wananchi waliyakusanya lini na kwa njia gani?

Aache uongo, hizo tozo zimepitishwa na lile bunge la CCM lisiloweza kuihoji chochote serikali kisha Rais akaweka saini.
Ewaaa! Hao hao ndo wamekuwakilisha! Maana ulichagua mbunge wako mwenyewe 2020
 
Hivi kweli kabisa Waziri anaejiita Daktari wa uchumi, anaitisha press conference, kuja kuwasingizia wananchi ndo walioomba tozo..?

Tozo ni kodi iliopewa jina tofauti..
 
Wabunge wana rizaaa % ya wananchi. Tuanzie hpo

 
Mpaka siku box la kura likipata heshima yake ndio huu ujinga utakwisha .
Exactly.

Huu upuuzi unaofanywa na Hawa maccm, hatuwezi kukoma, unless tunakuwa na uchaguzi huru.

Uchaguzi huo huru utapatikana pale tu, nchi itakapopata Katiba mpya ya Rasimu ya Warioba na wala si kwa Katiba pendekezwa ya hao Masisiem
 
Wananchi waliomshauri ni wa huko Ulemo? Ni utaratibu upi aliotumia kupokea huo ushauri? N8 watu wangapi walihusika? Njia ipi zilitumika kwenye uamuzi wa kuona kuwa ushauri huo ulikuwa unawakilisha ushauri kutoka kwa wananchi walio wengi?
Jazaujazwe ndo nuksi
 
Du! 😡😡😡 taratibu jamani ebu atuambie hao wananchi waliopendekeza to ni kina nani?????? isijekuwa ni miongoni mwao!! Basi sie wananchi tunashauri tena hatutaki tena tozo wala makato yeyote ya dhulma. Sie wananchi tunaishauri serikali kutoza tozo wabunge na mawaziri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…