William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
-
- #21
Hilo Ni kwa jicho lako. Kwa jicho la Taifa Ni mzalendo, mpigania haki na mchapakazi na anayechukiwa na wasiompenda Raisi. Anajua kuzichanga karata ndio maana Ni waziri maarufu mpaka leoNitahama nchi kabisa. Simkubali hata kidogo huyu mwizi. Sijui alipewaje hata hiyo wizara nyeti hiyo. Ameingia tu na kuanza kuiba moja kwa moja. Bahati ni mshamba,anazuzuka na pesa moja kwa moja anaanza kujionyesha wazi.
Kwa nchi zilizopiga hatua anaweza kuchezea jera vizuri
Waulize TISSSorry kufanya vetting vigezo vipi hutumiwa?
Na inaonesha wanamkubali Sana na kelele zidi yake Ni za churaWaulize TISS
Niliona hivyo awali. Lakini Hilo jicho nimemuachia mama. Naamini 2030 Ni plan B.Mwigulu ni rais 2030, sio 2025
Anyway Rudi darasani.Waulize TISS
Mtaka hatoshi. Much know nyingi pia kisiasa ndo yuko chini mno.Rais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka
Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting
Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.
Save hii!!!
kuwa na Trillion 2, aiseeeNi jambo jema
Wewe unaziona nyingi?kuwa na Trillion 2, aiseee
Ndio wanaotakiwa na nchi za kikomunist Kama China na Russia na ndio wanaipaga mbinu ccmRais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka
Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting
Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.
Save hii!!!
Hakuna Taarifa aweza kuja kuwa Rais wa Taifa la Tz. May be ktk kusadikika. Japo pia kuna Mungu so let keep...Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.
Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio na tv karibu zote kutangaza Nia.
Mabango, mawe, Barabara vijiwe vikajaa majina ya Mwigulu Raisi.
Alipeleza pesa kidogo tu.
Alichokosea kidogo alichelewa kuunda timu. Na wenzake hawakujua mfuko wake. Wangejipendekeza Sana tu.
Wakati akina kigwangala wakipambana na Mo awakopeshe pesa za kampeni za ubunge Jamaa alibaki na mzigo wa kutosha. Akatumia helkopta kuzunguka nchi mzima na msafara binafsi. Kupiga kampeni za Uraisi ili ajisibitishie Uwaziri.
Sasa akiweza kufanya urafiki wa kinafiki na wapinzani wake Kama akina mpina, timu Jpm ili kupunguza madongo Basi ndani ya miaka 2 atakuwa na mzigo wa kutosha.
Sijui Kama Ni mfanya biashara Ila chukueni hii. Hii singida big star imeibuka na usajili wa kutosha. Mapesa ya kutosha. Mfupa wa kuendesha timu uliomuumisha kichwa Mo na Manji jamaa kautafuna Kama stake.
Anajua kujenga mifumo inayofanya na kupendezwa nae.
Nazani hatujui nguvu ya Mwigulu lkn naamini 2025 anaweza akawa na zaidi ya Tillion 2 ambazo zitamfanya kuwa na timu yenye nguvu Sana.
Jamaa Anajua watu wa kuweka kwenye timu. Sio ajabu kelele kwa mama haziwezi sikika Sababu washauri wote wa mama Ni timu yake.
Mwigulu ndio Raisi ajae.
wewe unazo?Wewe unaziona nyingi?
Mimi sitaki Uraiswewe unazo?
usiwe mjinga sana sasaMimi sitaki Urais
Haya unaandika ukiwa sawa kichwani..yaani urais ni mambo ya kuchanga karata, mtu hajui hata kupanga maneno ya kusema anaropoka tu..unajua wakati mwingine vzr mtu ujipime kiwango cha akili ulizo nazo kabla ya kuandika lolote watu wasome..Hilo Ni kwa jicho lako. Kwa jicho la Taifa Ni mzalendo, mpigania haki na mchapakazi na anayechukiwa na wasiompenda Raisi. Anajua kuzichanga karata ndio maana Ni waziri maarufu mpaka leo
Kwanini unanisema vibaya ndugu yangu, nimekukosea nini mimi.Labda kama atakuwa rais wa Singida Big Stars! Ila siyo Tanzania. The man is too arrogant.