jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
I Gwajima ndugu mjumbe, Gwajima atatuvushaAnyway Rudi darasani.
Bashungwa na Mwinyi wote hawana sifa. Mwinyi ana KASHFA ya kuuza kisiwa huko kwao!!
Pia mwinyi hawezi kuwa ajaye sababu tayar s100 ameintervene!!!
Sa100 ni one term, amalizia kukamilisha KAZI aloianza na mjomba.
Ajaye baada ya sa100 ni..........hutoamini.
Ni wa Aina ya dereva anaemkwepa bodaboda anaangusha Basi la watu 60 hiyo Ni akili matope.Mzeeeee Kwan kuua watu 10 uokoe watu million 60 Kuna makosa gaaaan the man was very right lkn cc nyumbu wa kitanzania uelewa wetu Ni mdogo saaana, we are not thinking beyond the reality. Ni hayo tu mkuu!!!!
Akiwa rais mbona tutatozwa tozo ya oxygen tunayotumiaKwa hili sina ubishi kabisaaa......siasa ya Tz inahitaji pesa....mwigulu kwa sasa ana mtaji wa kutoshaa
Kwani Ben Sa8, Azory Gwanda na wote aliowapora fedha zao walikuwa na tishio gani kwa taifa? Yule mpumbavu alikuwa ni shetaninktk meili wa mwanadamu.Mzeeeee Kwan kuua watu 10 uokoe watu million 60 Kuna makosa gaaaan the man was very right
Ko bashungwa unamchukulia poa?Rais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka
Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting
Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.
Save hii!!!
Siuseme 😁😁😁Anyway Rudi darasani.
Bashungwa na Mwinyi wote hawana sifa. Mwinyi ana KASHFA ya kuuza kisiwa huko kwao!!
Pia mwinyi hawezi kuwa ajaye sababu tayar s100 ameintervene!!!
Sa100 ni one term, amalizia kukamilisha KAZI aloianza na mjomba.
Ajaye baada ya sa100 ni..........hutoamini.
Huyu ndio Kiboko ya Machadomo..Nitahama nchi kabisa. Simkubali hata kidogo huyu mwizi. Sijui alipewaje hata hiyo wizara nyeti hiyo. Ameingia tu na kuanza kuiba moja kwa moja. Bahati ni mshamba,anazuzuka na pesa moja kwa moja anaanza kujionyesha wazi.
Kwa nchi zilizopiga hatua anaweza kuchezea jera vizuri
Lisu ni Rais wa mabeberu na ChadomoHii ndoto ya kutisha ikija kuwa kweli mimi huyooo Buyenzi!! fulu stop.
View attachment 2366708
Mama amuachie Lissu tu kama anataka,kama hataki aendelee kujifunga kibwebwe hadi kirodani zitukae sawa.
Kiboko ya Chadomo na wakwepa Kodi wanaopenda vya mteremko..Hilo Ni kwa jicho lako. Kwa jicho la Taifa Ni mzalendo, mpigania haki na mchapakazi na anayechukiwa na wasiompenda Raisi. Anajua kuzichanga karata ndio maana Ni waziri maarufu mpaka leo
Wanawaza 2030 sio 2025 hakuna anaeweza kuthubutu kujitangaza kushindana na SSH unless hawajipendi..Hivi kuna anaelala bila usingizi akidhani 2025 Kuna mgombea na Rais mteule zaidi ya Samiah? Zungumzieni 2030 labda na ikiwezekana 2035 baada ya 5 ya ahsante Bibi.
Mkuu usiseme hivyo. Arrogance siyo sabab ya mtu kuukosa urais. Kuna Yuda alikuwa ikulu alikuwa na zaidi ya arrogance. Alikuwa katili Sana, aliteka, alipora na kuua watu bila huruma.
Tuiombe tu cc ya ccm isituletee dikteta tena
Kwamba Mwigulu agombee 2025 au? Hata yeye hana hilo wazi la 2025 maana akithubutu tuu kufanya hivyo atapotezwa mazima..Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.
Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio na tv karibu zote kutangaza Nia.
Mabango, mawe, Barabara vijiwe vikajaa majina ya Mwigulu Raisi.
Alipeleza pesa kidogo tu.
Alichokosea kidogo alichelewa kuunda timu. Na wenzake hawakujua mfuko wake. Wangejipendekeza Sana tu.
Wakati akina kigwangala wakipambana na Mo awakopeshe pesa za kampeni za ubunge Jamaa alibaki na mzigo wa kutosha. Akatumia helkopta kuzunguka nchi mzima na msafara binafsi. Kupiga kampeni za Uraisi ili ajisibitishie Uwaziri.
Sasa akiweza kufanya urafiki wa kinafiki na wapinzani wake Kama akina mpina, timu Jpm ili kupunguza madongo Basi ndani ya miaka 2 atakuwa na mzigo wa kutosha.
Sijui Kama Ni mfanya biashara Ila chukueni hii. Hii singida big star imeibuka na usajili wa kutosha. Mapesa ya kutosha. Mfupa wa kuendesha timu uliomuumisha kichwa Mo na Manji jamaa kautafuna Kama stake.
Anajua kujenga mifumo inayofanya na kupendezwa nae.
Nazani hatujui nguvu ya Mwigulu lkn naamini 2025 anaweza akawa na zaidi ya Tillion 2 ambazo zitamfanya kuwa na timu yenye nguvu Sana.
Jamaa Anajua watu wa kuweka kwenye timu. Sio ajabu kelele kwa mama haziwezi sikika Sababu washauri wote wa mama Ni timu yake.
Mwigulu ndio Raisi ajae.
Asilimia karibia 98 za case za walio hujumu uchumi kwa kutumia madaraka yao vibaya, kukwepa kodi, kuiba mali za umma n.k wangapi kati yao wana kadi za chadema na wangapi kati yao wana kadi za ccm?Huyu ndio Kiboko ya Machadomo..
Mumemshindwa Makamba JR sasa mko kwa Mwigulu..
Mlizoea kukwepa Kodi na kudekezwa, Mwigulu ndio Kiboko yenu.
Tatizo Roho yako mbaya sana jamaa yangu Lameck.Kwanini unanisema vibaya ndugu yangu, nimekukosea nini mimi.
Nina imani hata hao ccm wenyewe hawawezi kurudia tena makosa kwa kuwapa nafasi za juu wale wenzangu na mimi waliotwa washamba naalimbukeni na Mzee wa fursa; ndugu Zitto Zubery Kabwe.Mkuu usiseme hivyo. Arrogance siyo sabab ya mtu kuukosa urais. Kuna Yuda alikuwa ikulu alikuwa na zaidi ya arrogance. Alikuwa katili Sana, aliteka, alipora na kuua watu bila huruma.
Tuiombe tu cc ya ccm isituletee dikteta tena
Kakulipa kiasi gani kwa bandiko hili?Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.