Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

Mt
Rais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka

Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting

Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.

Save hii!!!
Mtaka amechafukaje tena?
Je, Kachafuliwa au amejichafua?
 
Rais ajaye ni Either Mwinyi au Inocent Bashugwa baada ya Mtaka kuchafuka

Kila kitu kinaenda sawa kwenye vetting

Marais wenye asili ya dictator hawatakuja kuongoza tena hii nchi.

Save hii!!!
Mtaka amechafukaje tena?
Je, Kachafuliwa au amejichafua?
 
Haya unaandika ukiwa sawa kichwani..yaani urais ni mambo ya kuchanga karata, mtu hajui hata kupanga maneno ya kusema anaropoka tu..unajua wakati mwingine vzr mtu ujipime kiwango cha akili ulizo nazo kabla ya kuandika lolote watu wasome..
Uo Ni mtazamo wako. Lkn Ccm wamemuweka kwenye Wizara muhimu kabisa na kumiliki timu ya Mpira. Na haguswi ujue
 
Na inaonesha wanamkubali Sana na kelele zidi yake Ni za chura
Wewe ni Mwigulu mwenyewe au mke wake? Acha kumpamba/kujipamba kwani hana umaarufu wowote kama unavyolazimisha watu waamini na hata vigogo ndani ya CC hawawezi kuacha 'vijana wao pendwa' wakamng'ang'ania mlugaluga ilhali wameshajifunza baada ya kuonja joto ya jiwe pale usukani unapokuwa mikononi mwa mlugaluga.
Kwa sasa hawawezi kuiacha nchi itoke nje ya 'mikono salama'.
 
Ni udhaifu tu wa mama lakini jamaa hana sifa kabisa za waziri wa fedha... Urais ndio hauwezi kabisa kwanza ni zaidi ya dikteta!
 


Akawe rais wa Burundi.
 
Mzeeeee Kwan kuua watu 10 uokoe watu million 60 Kuna makosa gaaaan the man was very right lkn cc nyumbu wa kitanzania uelewa wetu Ni mdogo saaana, we are not thinking beyond the reality. Ni hayo tu mkuu!!!!
Alafu watu wenyewe ni wale wa Kibiti...
Afu kapora wezi walio kuwa wanakwepa kodi.
Maskin tulii enjoy sanaa matajiri walikunya hovyo kwa yule mwamba makonyooo
 
Umesema kweli Sana! Hawa mapimbi ccm wala hawaoni! Huyu ni hovyo Sana!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bashungwa ameandakuwa kuwa waziri mkuu na wala Siyo rais pia muda si mrefu baraza la mawaziri linavunjwa afu bashungwa atapelekwa jina bungeni na kuteuliwa then atatangazwa na kuapisha chunguza msafara wake una ulinzi mkubwa
 
Mwigulu siyo cc ya ccm. Ili kuwa rais lazima mtu awe chaguo la cc ya ccm.

Kuna watu muhimu ambao ndiyo wataamua mtu awe rais wa nchi hii;-
-Kinana
..Kikwete
-Chongolo
-Shaka
Kama hujui,Mkwere na Mwigulu ni one blood.

Shaka mtoe kabisa,hana hadhi hiyo!
 
Sasa ndio kapewa Wizara muhimu. Anauwezo wa kukusanya au kusamehe Kodi. Kuunda kanuni na mifumo. Yani ndio mtafuta hela na mpangaji wa matumizi.

Subiri akiwa waziri kwa miaka miwili tu Basi ndio raisi Ajae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…