Binti, hebu andika taratibu huku ukifikiria kwa makini! Watu wanahoji kuhusu tofauti ya Deni la taifa na Deni la serikali na ni Deni lipi hasa linamhusu mwananchi? Na kwanini mwananchi ayalipie makampuni binafsi Deni lao alilolitaja?Mamlaka itengue uteuzi unataka awekwe mjombako? Mwigulu oiga kazi hawa wamezoea vya bure.
Kama mwigulu hakuweza kuyajibu maswali ya wananchi Basi hafai tu! Kama unampenda Sana mhamishie nyumbani kwenu!