Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

Sio kama hajui anachoo ongea,nijeuritu ya kuvimbiwa dharau kwa wananchi.
Hakuna Mtanzania anayelipa deni, madeni ya Tanzania yanalipwa kwa kutumia madeni.
Kodi inayolipwa na watanzania, haitoshi hata kuiendesha serikali, sembuse kuleta maendeleo ya maana.
Tujitahidi tujue serikali yetu inaendeshwaje, tusidandie maneno ya wanasiasa.
 
Tangu tupate uhuru waziri wa fedha hajawahi kutokea Singida.

Sa100 ameweka Historia
 
Mpaka sasa sijajua kwa uhakika pale Udsm huwa wanazalisha wataalamu wa Kitu gani wanaweza kujisifia

Maana kila sekta huibuka na kauli tata na kutuacha na mshangao

Christmas njema!
Bwana Asifiwe Sana. Yohana Mbatizaji kaona Bomu hili, ni wazi kuna tatizo mahala hapo, UDSM. Tulikwishaliona hapo zamani na Sana ndo linazidi kuongezeka. Tusubiri mlipuko wake hivi punde.
 
Ovyo kama nn. Kwann anatafuta ujiko kwa njia mbaya ivyo na kumtukanisha Mhe. Kwa wananchi?
Kuna wakati mtu anaweza kukufanyia mema kabisa kumbe kwa siri sana ana nia Ovu kuliko hata shetani.
 
Mpaka sasa sijajua kwa uhakika pale Udsm huwa wanazalisha wataalamu wa Kitu gani wanaweza kujisifia

Maana kila sekta huibuka na kauli tata na kutuacha na mshangao

Christmas njema!
Kuna aliyewahi paita eti "jalalani" kama sikukosea. UDSM wanatakiwa kuchukua hatua kuh viwango na kutojihusisha na hawa wanaojisifia kw sana wkt wanafanya na kutamka mambo tofauti na mategemeo ya wananchi. Kesi za usuluhishi, hatushindi, tunashindwa kw zote, mainjinia wanafanya mautaalam yasiyo na viwango, kila siku viongozi wanalalamika, wachumi wakiulizwa maswali magumu wanapandisha Mizuka, wanawambia watu wahamie Burundi. Mtu anaona kabisa mchele umetoka 2000 umefika 3700 anasema amezibiti mfumuko ...nk Mwisho wa siku watu wataamini kuwa ni jalalani kweli ...duh!
 
Back
Top Bottom