peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Vyeti vyekiHii PHD ya huyu mtu ameiokota barabarani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti vyekiHii PHD ya huyu mtu ameiokota barabarani?
Hakuna Mtanzania anayelipa deni, madeni ya Tanzania yanalipwa kwa kutumia madeni.Sio kama hajui anachoo ongea,nijeuritu ya kuvimbiwa dharau kwa wananchi.
Huku ni kukosa hoja ukianza kuingiza familia za watu.Mamlaka itengue uteuzi unataka awekwe mjombako? Mwigulu oiga kazi hawa wamezoea vya bure.
Bwana Asifiwe Sana. Yohana Mbatizaji kaona Bomu hili, ni wazi kuna tatizo mahala hapo, UDSM. Tulikwishaliona hapo zamani na Sana ndo linazidi kuongezeka. Tusubiri mlipuko wake hivi punde.Mpaka sasa sijajua kwa uhakika pale Udsm huwa wanazalisha wataalamu wa Kitu gani wanaweza kujisifia
Maana kila sekta huibuka na kauli tata na kutuacha na mshangao
Christmas njema!
Kuna aliyewahi paita eti "jalalani" kama sikukosea. UDSM wanatakiwa kuchukua hatua kuh viwango na kutojihusisha na hawa wanaojisifia kw sana wkt wanafanya na kutamka mambo tofauti na mategemeo ya wananchi. Kesi za usuluhishi, hatushindi, tunashindwa kw zote, mainjinia wanafanya mautaalam yasiyo na viwango, kila siku viongozi wanalalamika, wachumi wakiulizwa maswali magumu wanapandisha Mizuka, wanawambia watu wahamie Burundi. Mtu anaona kabisa mchele umetoka 2000 umefika 3700 anasema amezibiti mfumuko ...nk Mwisho wa siku watu wataamini kuwa ni jalalani kweli ...duh!Mpaka sasa sijajua kwa uhakika pale Udsm huwa wanazalisha wataalamu wa Kitu gani wanaweza kujisifia
Maana kila sekta huibuka na kauli tata na kutuacha na mshangao
Christmas njema!