Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

Mamlaka itengue uteuzi unataka awekwe mjombako? Mwigulu oiga kazi hawa wamezoea vya bure.
Binti, hebu andika taratibu huku ukifikiria kwa makini! Watu wanahoji kuhusu tofauti ya Deni la taifa na Deni la serikali na ni Deni lipi hasa linamhusu mwananchi? Na kwanini mwananchi ayalipie makampuni binafsi Deni lao alilolitaja?
Kama mwigulu hakuweza kuyajibu maswali ya wananchi Basi hafai tu! Kama unampenda Sana mhamishie nyumbani kwenu!
 
Binti mamako, mshenzi
 
Elewa kwanza hoja yangu ya kugongewa mlanngo ndio ubwatuke kwa stress zako, nevertheless kwani kwenye SGR tutakuwa tunasafiri bure? hata daraja la salenda na kigamboni tunalipia.
 
Sawa lakini kwakuwa yeye 2040 atakuwa amekufa hayupo Tena so anategemea Generation ijayo ita-survive vipi?
 
Lakin si tutaongezewa makodi kila mahala ili kilipa hayo madeni
 
Hizi PhD za akina Mwigulu na Samia ni shida tupu, anatufanya sisi mbumbumbu siyo. Kinachofuatia ni ongezeko la kodi na tozo ili kulipa madeni
 
Watanzania tunafurahisha sana, hatuna la kufanya zaidi ya kujadili yapite. Viongozi wetu nao ni wasomi na wanatifahamu zaidi ya tunavyo jifahamu ya kuwa hatuna cha kuwafanya na kwamba hata nchi ikiwa na madeni yatakayo pelekea baadhi ya mali za zetu kushikiliwa hakuna mwananchi atakaye husika kulipa. Acha tuendelee kushangilia tukichoka burundi yatusubiri
 
Mwigulu akili zake bwanaπŸ˜‚πŸ˜‚
Sijui hata kama huwa anafikiria kabla ya kuongea.
 
Lameki mchumi kitini na kauli za kishamba..
 
Atakuwa kalewa huyu
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” doooh
 
Hii PHD ya huyu mtu ameiokota barabarani?
Anaitumia Phd yake kama chambo ya kuwavua samaki wadogo (masikini) kwa porojo za mdomo..

Mark my words..


Kwa kuendelea kuwa na mchumi kiongozi kama yeye hii nchi hili deni haliwezi lipika tusubir wadeni wetu waje wachague cha kuuza (kama siyo nchi) ili wajilipe
 
Na leo kakazia eti Mo na Bakhresa wakikopa nje hilo ni deni la taifa πŸ˜ͺπŸ˜ͺ

Hiyo ni kauli tu ya kujipatia kibari cha kuifirisi nchi...yaani eti nchi ilipe madeni ya mo na bakresa hakika tz ni mazuzu...!
 
Sio kama hajui anachoo ongea,nijeuritu ya kuvimbiwa dharau kwa wananchi.
 
Inadhamini.
 
Tugongewe mara mbili akati jana

Kuna tozo kibao ambazo hazina kichwa wala miguu

Hakuna watu wanaokota kama huyu waziri

Ana laana ya kukataliwaa ndio kinachomuandama huyu na kale kasambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…