Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

Urais ni watu, siyo mtu. Kama hana watu ni shida, hata walalahoi wanaweza kumpiga makofi Rais mwenye jina kubwa.
Mnyonge anyongwe lakini haki yake apewe.
Watu wa Rais waweza kuwa wasiojulikana au na wanaojulikana.
Kipi ni nafuu au afadhali? Vya nuruni au vya gizani?
 
Duh!
Umesikia na hili la magari kutoweka?!
Nchi ishakuwa shamba la Bibi, inavunwa kotekote!
 
Nchi hii upigaji upo awamu zote na ni wa kutisha mara zote. Na sioni dalili ya upigaji kuisha. Utaendelea kuwepo sana sana tu.
 
Ukipata nafasi ya kukwapua hakikisha umekwapua vya kutosha ukijikuta mzalendo utakufa huna pesa na huna heshima
 
Hivi wale walioenda na viroba na magunia kwenye Ile bank na kutoka yamejaa hawakuwa wezi au, na sikumbuki ilikuwa ni awamu ya nani!!
 
tumewapa mamlaka wootr hao sasa baadala ya kuchukua hatua wanabaki wanaimba taarabu wakati Taifa limeshapata hasara na watu wanakufa na kuteseka kwa kukosa huduma mbalimbali huku wenye mamlaka wanatumbua tu na kuchekeanachekeana tu..

Tunahitaji viongozi wenye maamuzi na uchungu pale mali ya umma inapofujwa na wajinga fulani, WATU WANAPASWA KUUAWA NA KUFILISIWA NA MAITI ZAO HATA KUTOONEKANA ZIKALIWE NA WANYAMA AU SAMAKI HUKO.

Tunakoendea wananchi wataanza kuchukua hatua dhidi ya hawa wafuja mali za umma na hii inaweza kuacha vilio kwenye familia nyingi sana mitaani huko...

.
 
Uko sahihi 100%
 
Hapa ni mwendo wa kupiga tu. Kwani wewe kwenu hakuna njaa hata kidogo. Wewe piga tu hata ukichukua chote kilichoko ni sawa tu.
Kwani uliwahi kusikia mtu hata mmoja amechukuliwa hatua yoyote? Ukiacha utakuwa husiwi wala, na kweli uliwahi kusikia mtu kasifiwa kwa matumizi mazuri ya pesa ya Serikali?
 

Ibeni tu, siku ya kufa ndo mtajua mazara yake
 
Mama angestaafu Kama hawezi kupbana na ufisadi. Akina Mwigulu wanampiga kibesi yeye kashangaa.
 
Impunity at its best. Na kuna kamati zingine kibao ambazo feedback yakw haijaletwa kwa wananchi.
 
Mama sound sana, nakumbuka alitupiga fix eti atatutajia "wafadhili" wa Roho Tour...hadi leo kimyaaa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…