gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Raia au wahalifu?Kazi ipo anaita Waandishi wa habari kuwaambia kuhusu magari bila kuzungumzia mauaji ya raia...
Raia au wahalifu?Kazi ipo anaita Waandishi wa habari kuwaambia kuhusu magari bila kuzungumzia mauaji ya raia...
Wewe dume jike unanitafutia ban sio..Raia au wahalifu?
Siyo mali za Samia? 😳😳😳😳😳... uharibifu huo wa mali za wananchi
Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Magari ya watu binafsi-
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Isiwe kesi Waziri Mkuu wewe kuanzia leo.Mpuuz huyo et waziri mkuu??!!
Kwa hiyo muandike nyinyi tu mnayoyataka?..anzisheni 'upinzani forums' mjadili peke yenuWewe dume jike unanitafutia ban sio..
Tafuta madume jike wenzio mjadili mambo yenu..Kwa hiyo muandike nyinyi tu mnayoyataka?..anzisheni 'upinzani forums' mjadili peke yenu
Toka humu nenda TEC na bavicha mkajadiliTafuta madume jike wenzio mjadili mambo yenu..
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi
Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Magari ya watu binafsi-
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Kosa lao kumkataa vampire samuya.Wale waliouwawa wakiwa majumbani nao kosa lao nini?
Ni kama tunaongozwa na wehuIdadi ya Mali wanaijua ila siyo idadi ya watu waliouwawa na polisi. Anyway