PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwaiyo hizo twakimu za vitu na miundombinu ndiyo mmekuja kuharalisha mauaji mliyoyafanya ya wananchi kudai haki siku na baada ya uchaguzi feki
 
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi

Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Idadi ya waliokufa iko wapi?

Arudi huko kukazwa kunako na jakaya.
 
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi

Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Ukijumlisha idadi ya hivi vitu vyote. Nso utapata idadi ya watu walouwawa
 
So Mwigulu anatuamanisha kuwa mwendokasi una thamani kuliko uhai wa binadamu..au sijaluelewa??
 
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi

Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Kwenye Mabasi kweli ila hayo magari ya watu binafsi na mengine ni uongo mtupu
 
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na uharibifu huo wa mali za wananchi

Vituo vya Polisi- 159
Ofisi za serikali-756
Vituo vya Mwendokasi-27
Vituo vya DAWASCO
Mabasi-6
Nyumba binafsi -273
Vituo vya Mafuta-672
Magari ya watu binafsi- 1642
Pikipiki binafsi- 2,268
Magari ya seriakli-979
Ametaja idadi ya vifo na majeruhi?
 
109006.png
boda boda 2268 je hii idadi ni ya kweli?
 
Mbona ameitoa mapema sana??! Asubiri December 9 ndio atajua kipi kina thamani kati ya uhai wa mtu au mali.
 
Hakuna vituo vya mafuta 600 plus vilivyochomwa aache uongo wake.

Huyu muongo wa taifa anajua Tanzania nzima ina vituo vya mafuta vingapi?
 
Back
Top Bottom