Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na Wafanyabiashara, wachumi na pia kuangalia trend ya soko la hisa la nchi husika.
Nikimwangalia nakumsikiliza Mwigulu, nikiangalia historia yake kwenye hii nchi ninakiri hana uwezo wa kuongoza wizara ya fedha. Ana uwezo mkubwa darasani lakini siyo mbunifu, Ni mtu anayefaa kuajiriwa na kusimamiwa siyo kusimamia.
Kinachokwenda kutokea ni Makamu wa Rais anakwenda kufanya kazi za Waziri wa Fedha. Swali, kwa malengo ya kisiasa ya Mwigulu atakubali kuongoza na Dr. Mpango? Ukweli ni kwamba hatokubali. So lazima ugomvi utatokea vinginevyo Dr. Mpango achague kukaa kimya Jambo ambalo ni gumu kwa sababu Mhe Rais ameshamkabidhi jukumu la kumsimamia na kumwongoza Mwigulu.
Mhe. Rais alipompa jukumu la wizara ya fedha Makamu wa Rais alijua kabisa Waziri na Naibu ni wachanga kwenye Wizara hii.