Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Unamtisha nani? Kuwa na first class ndio una uwezo?Inasemekana ana first class ndani ya first class kwahiyo usimchukulie poa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtisha nani? Kuwa na first class ndio una uwezo?Inasemekana ana first class ndani ya first class kwahiyo usimchukulie poa.
Kwani nimepata mimi hiyo first class hadi nikutishe nayo. We umeuliza kama mtoa mada amesoma nae hadi ajue uwezo wake, mi nimekujibu taarifa zilizopo mtandaoni.Unamtisha nani? Kuwa na first class ndio una uwezo?
Mitandaoni taarifa!Kwani nimepata mimi hiyo first class hadi nikutishe nayo. We umeuliza kama mtoa mada amesoma nae hadi ajue uwezo wake, mi nimekujibu taarifa zilizopo mtandaoni.
Kuwa na first class darasani na utekelezaji wa kazi ni vitu viwili tofauti.
Mwigulu "akikataa maelekezo" safari nje ya Wizara itamhusu. Msimchukulie poa Dr. Mpango na kumbuka hata kwenye lile sakata la Makontena ya Bashite, Mpango alisimama imaraKinachokwenda kutokea ni Makamu wa Rais anakwenda kufanya kazi za Waziri wa Fedha. Swali, kwa malengo ya kisiasa ya Mwigulu atakubali kuongoza na Dr. Mpango? Ukweli ni kwamba hatokubali. So lazima ugomvi utatokea vinginevyo Dr. Mpango achague kukaa kimya
Sasa mzee unafikiri kuna mtu ana cheti chake ili akuthibitishie kwamba alikuwa na uwezo mkubwa darasani.Mitandaoni taarifa!
Kaa kimya.Sasa mzee unafikiri kuna mtu ana cheti chake ili akuthibitishie kwamba alikuwa na uwezo mkubwa darasani.
Huyu ataboronga hatariiiNimemsikiliza huyu jamaa Bwana Madelu Mwigulu Nchemba akiongea na Timu ya Wizara ya Fedha jamaa anaonekana ni mtupu kabisa kichwani kuhusu mambo ya Uchumi!! Sijamsikia akiweka mkakati wowote namna atakavobuni mbinu mpya za kukusanya Kodi au kuongeza Wigo wa kukusanya kodi...!!!
Sana alikuwa anarejea tu hotuba ya Mhe. Mama Samia kasema, kasema, mama kasema na kujirudiarudia kwingi. Nimecheka sana alipotoa mfano wa kijijini kwao Iramba kuhusu Wafugaji wa ng 'ombe kuwa huwa hawakamui maziwa yote mpaka damu itoke....lazima wamwachie ndama naye kidogo!!!!
Huyo ndio Mchumi namba 1 aliyeaminiwa na Mama Samia Suluhu. What a shame to this man?? Bila shaka mama atakuwa ameingizwa choo cha kiume.
Kuna tofauti kubwa sana ya mtu kufaulu darasani with Honours na kile mtu anakwenda kuki-present site katika utekelezaji.
Tusubiri, muda utasema tu!!!
Sio mwigulu tu hata raisKwahiyo unataka mwigulu awe bandidu
Mkuu mtu Dokta halafu lugha ya malkia iwe shida, inawezekana hii kweli?Huyu ataboronga hatariii
Elimu za kuungaunga
Lugha ya Malkia shida
Ubongo mweupeee
Mbinafsi
Hajiamini
Mzaha mwingi
Kwani kuna taabu gani kumweka mtu kama Prof. Mussa Assad the former CAG?
Katika vipindi vya mpito kama hiki sio vibaya kuwatumia watu kama hawa kwa muda fulani ili kurekebisha mambo huku the right person na damu changa ikiandaliwa...
Hata watu kama Zitto Kabwe siyo vibaya kuwatumia. Ni kiasi cha kuruka viunzi vya political barriers vyote ili mradi kuhakikisha mambo yaliyohabiwa na Jiwe yanatengemaa...
Mwigulu ni mchawi.
Atakuwa mchawi mwenzio tu. Maana kuzungumza uchawi kwa kujiamini hivi sio bure.
Serikali nyingi duniani zinapenda kuwatumia wachawi kwa malengo fulani.
Kumbe. Hii ni katiba au sheria gani?