Mwigulu hatodumu Wizara ya fedha, hana traits za kuimudu kazi yake

Kwani nimepata mimi hiyo first class hadi nikutishe nayo. We umeuliza kama mtoa mada amesoma nae hadi ajue uwezo wake, mi nimekujibu taarifa zilizopo mtandaoni.
Kuwa na first class darasani na utekelezaji wa kazi ni vitu viwili tofauti.
Mitandaoni taarifa!
 
Mwigulu "akikataa maelekezo" safari nje ya Wizara itamhusu. Msimchukulie poa Dr. Mpango na kumbuka hata kwenye lile sakata la Makontena ya Bashite, Mpango alisimama imara
 
Huyu ataboronga hatariii
Elimu za kuungaunga
Lugha ya Malkia shida
Ubongo mweupeee
Mbinafsi
Hajiamini
Mzaha mwingi
 
Nasisitiza Mwigulu Nchemba ni Mchumi First Class na anaouwezo mkubwa wa kuiongoza Wizara ya Fedha.

Hebu tuondoe chuki na fitna na tumuache afanye kazi yake.

Piga kazi Mh. Waziri watakusifia baadae.
 
Mimi NAOMBA kuuliza swali kwa wanaomfahamu Mh.Mwingulu.KWANI DEGREE YAKE YA KWANZA NA YA PILI KASOMEA MAMBO YA FINANCE NA AU UCHUMI ? JE DEGREE YAKE YA PhD kasomea nini ?
 
Huyu ndy Galasa la Kabinet ya mama...nmewaza sana yeye na linaibu lake wakiwa Interior ministry Watu walipotea sana...Sjui Vetting masters wanakulaga opium au nini??
 
Kwani kuna taabu gani kumweka mtu kama Prof. Mussa Assad the former CAG?

Katika vipindi vya mpito kama hiki sio vibaya kuwatumia watu kama hawa kwa muda fulani ili kurekebisha mambo huku the right person na damu changa ikiandaliwa...

Hata watu kama Zitto Kabwe siyo vibaya kuwatumia. Ni kiasi cha kuruka viunzi vya political barriers vyote ili mradi kuhakikisha mambo yaliyohabiwa na Jiwe yanatengemaa...
 

 
Tuache Ramli Chonganishi.

Tumpe Muda, atimize wajibu na majukumu yake kisha Tupime utendaji Wake.
 
Kweli tumelamba udongo jamaa huwa ana panic sana tena ni mbinafsi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…