Kwa mazuri machache, ndio alikuwa hatuletei msosi mezani ila vitu vingi vya kijinga Ali deal navyo effectively bila simile kabisaTumkumbuke kivipi?..kwamba maisha yalikuwa malaini sana kipindi chake au?..
Mbona mnawasahau kina Irene Uwoya kwenye iyi nafasi ya Mwigulu? Kuna Mchizi Mox, Joti, Masanja yani wanaweza kabisa iyo wizara wakipewa. Mpe Mac Regan uone uchumi utakavyopaaHana tofauti na kingwangala vyeti vimeshindwa kuwasaidia.Heri apewe kishimba angepewa wizara hio.
Wanaachwa watu smart kama kina Dr Kimei,huyu msingida alaaniwe kabisa
Halafu wanafanya kwa kujiamini bila kutafakari impact wakijua hakuna atakayewafanya chochote na lolote.Kila siku tunajenga Taifa la kulialia. Hakuna siku mwananchi wa hali ya chini atafurahia nchi yake, yaani tumefanywa kuwa waliaji kila mara kwa sababu ya kodi na tozo zisizo na huruma kwa wananchi wa kawaida...
Hii nchi kuna watu nnavuta hewa ya bure kabisa[emoji47][emoji46][emoji34][emoji34][emoji34]Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Yanaelewa basi hayo ma mbwa mengine ya nchi hii.Kukusanya mapato tunaunga mkono 100%
Lakini kwenye hili tutafeli 100% kwasababu miamala itapungua Kwa zaidi ya nusu ya sasa. Mtu atafanya muamala wa simu pale tu inapokuwa hakuna options.Tafsiri yake ni kwamba hata ile Kodi iliyokuwa ikikusanywa sasa haitapatikana
Nakodi boda iende irudi na demu napata nakesha nae bila jauWe mpuuzi kweli,so unaona hizo huduma watu wataendelea kutuma pesa KWA wingi kama Zamani.
Ndo Mana nimesema Huyu mchumi Gani asiyejua mambo ya uchumi?
Watakao umia ni wa vibanda vya Kutokea/kuweka pesa maana flow itapungua.
Kweli nitume million na ya Kutolea jumla 30000 au nipande gari nipeleke physically?
Nani amepata hapo na nani amekosa?
Uko smartMimi siku tu niliyoona jina la Mwigulu kuwa waziri ndio nilipogundua mama miyeyusho
Unapoandika sometimes uwe unatumia akili, sio unaandika tu kufurahisha genge. Jibu hoja kwa hoja. Maana naona unapindisha mjadala kwa kutuhamishia kwenye vyama.Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Mitano tena....!
The same to meMimi siku tu niliyoona jina la Mwigulu kuwa waziri ndio nilipogundua mama miyeyusho
Liache taka hiloAcha kutumia bange,nani Chadema hapaaa.
Tunaongea wananchi
Utajua hujui tu muda utaongea.Tumkumbuke kivipi?..kwamba maisha yalikuwa malaini sana kipindi chake au?..
Tulia msitupigie kelele nyie mibavicha! Lipeni kodiHivi kuna mtu ambaye ana mbunge kwenye hilo bunge la Serikali?