Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Hana tofauti na kingwangala vyeti vimeshindwa kuwasaidia.Heri apewe kishimba angepewa wizara hio.
Wanaachwa watu smart kama kina Dr Kimei,huyu msingida alaaniwe kabisa
Mbona mnawasahau kina Irene Uwoya kwenye iyi nafasi ya Mwigulu? Kuna Mchizi Mox, Joti, Masanja yani wanaweza kabisa iyo wizara wakipewa. Mpe Mac Regan uone uchumi utakavyopaa
 
Kila siku tunajenga Taifa la kulialia. Hakuna siku mwananchi wa hali ya chini atafurahia nchi yake, yaani tumefanywa kuwa waliaji kila mara kwa sababu ya kodi na tozo zisizo na huruma kwa wananchi wa kawaida.

Hatuwezi kuwa na taifa la hivi na huu wala siyo uzalendo. Miaka yote tumekusanya kodi hatujawahi kumsaidia mwananchi wa chini kuondokana na umasikini bado tu mnampiga kwenye huduma muhimu ambazo mnajua ni lazima atazifanya. Hii laana haitawaacha salama, mnaejenga nchi kwa kuumiza raia wa chini.
 
Kumbe kaagiza mashine mpya
2022-toyota-land-cruiser (5).jpg
2022-toyota-land-cruiser (10).jpg
 
Kila siku tunajenga Taifa la kulialia. Hakuna siku mwananchi wa hali ya chini atafurahia nchi yake, yaani tumefanywa kuwa waliaji kila mara kwa sababu ya kodi na tozo zisizo na huruma kwa wananchi wa kawaida...
Halafu wanafanya kwa kujiamini bila kutafakari impact wakijua hakuna atakayewafanya chochote na lolote.
 
Mwigulu tilisema hafai kuwa kiongozi kwenye awamu ya Mh. Samia. Huyu jamaa ana taka kuwa rais, hivyo atafanya kila awezalo ili serikali ya Mh. Samia ionekane ina fanya vibaya.

Kumbuka mambo yaliyo fanyika wizara ya fedha hivi karibuni baada ya Mwigulu kuwa waziri. Wizi, wizi mtupu. Ona sasa kaanza wizi mfukoni kwetu.
 
Waziri Mwigulu tunamwonea bure. Mawazo yake aliyawakilisha mbele ya Bunge ambalo ni kikao cha wawakilishi wetu. Kama yanayolalamikiwa hawakuyaona na kutoa baraka huo ndio uamuzi wetu sisi mwananchi.

Kwa maneno mengine tumeridhia kodi hizo na mkakato tajwa. Katika mazingira haya na kama mwananchi tumebadilisha mawazo tusimkomalie Waziri Mwingiru bali wawakilishi wetu, Wabunge
 
Kukusanya mapato tunaunga mkono 100%
Lakini kwenye hili tutafeli 100% kwasababu miamala itapungua Kwa zaidi ya nusu ya sasa. Mtu atafanya muamala wa simu pale tu inapokuwa hakuna options.Tafsiri yake ni kwamba hata ile Kodi iliyokuwa ikikusanywa sasa haitapatikana
Yanaelewa basi hayo ma mbwa mengine ya nchi hii.
 
We mpuuzi kweli,so unaona hizo huduma watu wataendelea kutuma pesa KWA wingi kama Zamani.
Ndo Mana nimesema Huyu mchumi Gani asiyejua mambo ya uchumi?

Watakao umia ni wa vibanda vya Kutokea/kuweka pesa maana flow itapungua.
Kweli nitume million na ya Kutolea jumla 30000 au nipande gari nipeleke physically?

Nani amepata hapo na nani amekosa?
Nakodi boda iende irudi na demu napata nakesha nae bila jau
 
Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Unapoandika sometimes uwe unatumia akili, sio unaandika tu kufurahisha genge. Jibu hoja kwa hoja. Maana naona unapindisha mjadala kwa kutuhamishia kwenye vyama.
 
Back
Top Bottom