Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaibusha wanyaturu wenzake , huyu ndio nyaturu mpumbavu kuliko wote dunianiKweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.
Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.
Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.
Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
Hakuna lazima raisi asainiKuna sheria inaweza kupitishwa bila idhini ya Rais?
Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.
Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.
Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.
Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
Labda phd feki,mbona shallow Sana.Huyo ni PhD holder usimfananishe na vibaka waliokamatwa hko MZA
Heri hiyo phd angepewa mzee Mpili wa Mpili kuliko hili kopoLabda phd feki,mbona shallow Sana.
Kwenye reasoning Kishimba yupo mbali kuzidi mwigu.Huwezi kuwa na phd na ukafanya dabo taxation
Huwezi ukawa na phd then usijue taxation principalHeri hiyo phd angepewa mzee Mpili wa Mpili kuliko hili kopo
Mambo ya Hovyo sana, magufuli aliwahi kumfuta kazi huyu tena njiani kumbe alikuwa sahihi kabisa. Alisema tutamkumbuka namkumbuka kwa hilo.Huwezi ukawa na phd then usijue taxation principal
Unateseka ukiwa wapiLabda phd feki,mbona shallow Sana.
Kwenye reasoning Kishimba yupo mbali kuzidi mwigu.Huwezi kuwa na phd na ukafanya dabo taxation
Uwezo wake ni mdogo. Halmashauri inaliwa tu na mkurugenzi ambaye ni rafiki yake na lidada limoja ambalo limemuweka mkurugenzi na Ummy mkononi. Yanafanyika mambo ya aibu na yahovyo TangaUmmy wizara kubwa sana ile ndo Mana kapoteza direction
Muongeze maswali na ayajibu.Kwahiyo huko kwenye baraza ndio walimtuma awaambie watanzania wasiotaka kulipa hiyo kodi wahamie Burundi?
Shirikisha halmashauri ya kichwa chako kwanza kabla ya kuandika upuuzi wako.Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Hafai huyu mshirikina.Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.
Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.
Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.
Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
PHD za wasomi wetu ni upuuzi mtupu. Hawana tofauti na STD 7Huyo ni PhD holder usimfananishe na vibaka waliokamatwa hko MZA
Konda wake hofu kibarua kikiota nyasi,utashiba njaaUnateseka ukiwa wapi
Kwani hii nchi Kuna wabunge ?Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Uongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? 🙂 🙂 🙂
Siyo, kupitishwa, bali kutumikaKuna sheria inaweza kupitishwa bila idhini ya Rais?