Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Tatizo kubwa ni maneno yake dhidi ya raia wenzake kwamba wahamie Burundi.
Katika jamii ya wastaarabu, mashinikizo ya kujiuzulu yasingekoma hadi aachie ngazi.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.

Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.

Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.

Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
Anaibusha wanyaturu wenzake , huyu ndio nyaturu mpumbavu kuliko wote duniani
 
Kuna sheria inaweza kupitishwa bila idhini ya Rais?
Hakuna lazima raisi asaini
20210719_105642.jpg
 
Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.

Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.

Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.

Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.

Huyu huyu Rais aliyeridhia hiyo levy ya kipumbavu au wewe mwenzetu unamzungumzia Rais gani labda?
 
Mwigulu hana kosa. Ajiuzulu kwa sababu gani? Mnaosema hivyo hamna hoja.

Mnapambana na remote mshika remote mnamuacha ametulia.

Kwann hamsemi Samia ajiuzulu!!?
 
Ummy wizara kubwa sana ile ndo Mana kapoteza direction
Uwezo wake ni mdogo. Halmashauri inaliwa tu na mkurugenzi ambaye ni rafiki yake na lidada limoja ambalo limemuweka mkurugenzi na Ummy mkononi. Yanafanyika mambo ya aibu na yahovyo Tanga
 
Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Shirikisha halmashauri ya kichwa chako kwanza kabla ya kuandika upuuzi wako.
 
Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.

Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.

Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.

Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
Hafai huyu mshirikina.
 
Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Kwani hii nchi Kuna wabunge ?
 
Uongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? 🙂 🙂 🙂

Duuuh!!
"Mwanamke mwendawazimu akamzaa injinia ama daktari"!!!!!!
Hivi hii ni kutokana na elimu mliyopata ama ni vichwani empty au ni vyote viwili!?
 
Back
Top Bottom