Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ni kweli ila Chadema nayo is no better tena naweza kusema wao watakuwa balaa zaidi kutokana na kuwa na hasira ya kulipiza kisasi.Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno..
Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.
CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.
Sie wote ni wafu watarajiwa yote ajuae muumbaYatima sio Nyie Baba yenu Jiwe aliyekufa kwa covid?
Tujikumbushe: tunakwenda kuyaona tuliyoyashuhudia enzi za
Tuliandika kuwa sura yake tu ukiitazama huyu hana uadilifu, badala ya kuongeza kodi kwenye betting ili kupunguza janga hilo na kuongeza shughuli zenye tija yeye anafanya kinyume chake
Aaah wapi labda yule bibi wa singida afeHuyu Madelu anaweza asidumu kwenye hiyo nafasi yake!
Huyu Bi. Mkubwa wetu muda si mrefu anaweza akamuengua jamaa.
Though ukiwa ccm upo juu ya Sheria walioifirisi nssf kina dau mbona wanadunda.Anayeshughulikiwa kufungwa na kufukuzwa Kazi ni watumishi wadogo wadogo waliopokea elf 5 au 10 .Majizi makubwa ya ccm huwa yanahamishwa tu wizara.Na hapa ndipo unapokuja ku-judge umakini wa SSH kama kweli ana tofauti yoyote na waliomtangulia hata kama siku chache za mwanzo alitaka kujionesha yupo tofauti na Magu! Hivi mtu wa hovyo kama Mwigulu unampa vipi ofisi nyeti kama MoF?
Uzuri wa CCM mambo kama hayo yanakubalika!! Hivi sakata la Mhando wa TANESCO kutoe tenda kwa mke wake bila kujali suala la mgongano wa maslahi liliishia wapi?!
Sasa kama unalijua hili Mbona useme Mbowe kwenda ndani CHADEMA wamebaki yatimaSie wote ni wafu watarajiwa yote ajuae muumba
Kama LwakataleMbowe Ni gaidi ,mjiandae kisaikorojia ninyi yatima watarajiwa
Lakini leo sabaya yuko wapi?Hili gazeti la kufungia mihogo ndio liliandika ole sabaya ni billionea , wapuuzi sana linatumiwa na mbowe na genge lake
USSR
Mwendazake je ?Mbowe analiwa na kunguni muda huu
USSR
Hao ndio mafisadi wa CCM. Wako kwenye uongozi kwa ajili ya kujinufaisha. Kwenye bajeti hii wameamua kukarabati viwanja vyao vya mpira wanavyovimiliki ndio maana wakafuta kodi ya nyasi bandia.
Rais HAWEZI MFANYA CHOCHOTE MWIGULU.
Jino kwa jino, nyama kwa nyama!Hili gazeti la kufungia mihogo ndio liliandika ole sabaya ni billionea , wapuuzi sana linatumiwa na mbowe na genge lake
USSR
Star TV wapo na Mzee Saidi katika Mada ya Utekelezaji wa maendeleo ya Wananchi.Huyo Mwigulu ni Opportunistic na hajapita katika Tanuru la Uongozi.Uzalendo ni kujitanda Bendera ya Taifa?Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno.
Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.
CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.
Hii post itunzwe...!!Hili gazeti la kufungia mihogo ndio liliandika ole sabaya ni billionea , wapuuzi sana linatumiwa na mbowe na genge lake
USSR