Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Msimchafue MWIGULU....

Mpelekeeni VITUMBUA John Pambalu .....
 
hata hivyo hafai kuwa wazir wa fedha hata kidogo hana karama hiyo analazimishwa tu
 
Mpango amekaa hapo sijasikia zengwe au unalo utuambie
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida sana
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida sana
 
Huyu Madelu anaweza asidumu kwenye hiyo nafasi yake!

Huyu Bi. Mkubwa wetu muda si mrefu anaweza akamuengua jamaa.
Waarab wa Pemba hujuana kwa vilemba. Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huyo Mama alimteua Mwigulu pasipo kujua!

Ccm ni ile ile! Na Baba yao ni mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…