Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwa hili serikali imefanya vyema sana. Inataka kuwe na compliance kubwa sana, pia administration cost itakuwa negligible kwa sababu the tax will be tapped at source.Waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
Je nyumba ikiwa na mita zaidi ya 1?Kwa hili serikali imefanya vyema sana. Inataka kuwe na compliance kubwa sana, pia administration cost itakuwa negligible kwa sababu the tax will be tapped at source.
Itakuwa na ufanisi kama road licence ambayo inatozwa kwenye mafuta. Hakuna senti inayopotea. Compliance is at excess.
Je nyumba ikiwa na mita zaidi ya 1?
Je nyumba ikiwa na mita zaidi ya 1?
Zote zitalipiwa Kodi ya nyumba ili kufidia wale ambao hawana umeme😆😆
Nyumba zote Tanzania zinaenda kuwa na umeme,niamini Mimi,hongera serikali kwa ubunifu huu🙏🙏
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Acha wapangaji tuongezewe mzigo wa kodiSijajua utaratibu, hiyo ni changamoto ambayo wanapaswa kuifanyia kazi baada ya kupokea kutoka kwako ewe mwananchi unayeipenda nchi yako. Na hata ukiwa na tentative solution go to share with them. They will appreciate, coz they are also Tanzanians we build the same house.
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika
Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela yake
Amesema mambo mengine yote yatakuwa ‘programmed’ vizuri ili kuepusha watu kupanga foleni ya kwenda kulipa kodi ya pango
Kodi ni ya jengo sio nyumba, kama nyumba ina majengo 10 na kila jengo Lina Mira yake atalipa mwenye through mpangaji wake anaelipa Kodi....overJe nyumba ikiwa na mita zaidi ya 1?