Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Sijajua utaratibu, hiyo ni changamoto ambayo wanapaswa kuifanyia kazi baada ya kupokea kutoka kwako ewe mwananchi unayeipenda nchi yako. Na hata ukiwa na tentative solution go to share with them. They will appreciate, coz they are also Tanzanians we build the same house.
Kwenye nyumba ambazo Tanesco hawajaweza umeme vipi wao hawalipi? Au watawashurutisha Tanesco waweke umeme kila nyumba?
 
Tueleweshe
Yaani nikinunua Umeme wa buku badala ya kupewa unit 2.8 ntapewa unit 2.03 mpaka elf60 yao kwa mwaka ikamilike,ni bora hivyo kuliko kufwata Uso kwa uso na maafisa wa mapato, pia kwa upande wa serikali ni very economically na sanifu.
 
Mi nataka kujua tu Mwigulu anatumia kilevi gani?..
NILIPE KODI KWA NIABA YA MWENYE NYUMBA!!.. MAANA YAKE MNANIPUNGUZIA TOKEN KWA ELFU 5 YANGU NAYOTOA ILI MFIDIE KODI YENU!!.. AISEE
SAKATA LA KUANZA KUMDI MWENYE NYUMBA NCHI NZIMA ANALIONAJE?.
NA NYUMBA .
Vip nyumba zenye matumizi mengi vs Nyumba zenye matumizi madogo ya Umeme?
 
Wengine wamenunua meter zao kuepuka kero za umeme kwa kushare meter na mwenye nyumba/wapangaji wengine, kwa hiyo sasa watu wa namna hiyo wata shurutishwa kulipa kodi kwenye nyumba ambayo sio yao?
Ila nyie watu Wengine Ni wagumu kuelewa aisee,
Uyo mpangaji unaesema kanunua Luku yake, siataikata kwenye Kodi yake, Kama kwa miezi sita Laki sita, siatalipa Tsh. 594000.......mbona simple
 
Mi nataka kujua tu Mwigulu anatumia kilevi gani?..
NILIPE KODI KWA NIABA YA MWENYE NYUMBA!!.. MAANA YAKE MNANIPUNGUZIA TOKEN KWA ELFU 5 YANGU NAYOTOA ILI MFIDIE KODI YENU!!.. AISEE
SAKATA LA KUANZA KUMDI MWENYE NYUMBA NCHI NZIMA ANALIONAJE?.
NA NYUMBA .
Vip nyumba zenye matumizi mengi vs Nyumba zenye matumizi madogo ya Umeme?
Kwa mwezi wanakata Elfu moja, we katika Kodi utakayomlipa mwenye nyumba,Kama kwa miezi sita ni Tsh. 300,000/= basi utamlipa Tsh.294000/=

Sasa hapo nini ambacho kigumu kuelewa
 
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika.

Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela yake.

Amesema mambo mengine yote yatakuwa ‘programmed’ vizuri ili kuepusha watu kupanga foleni ya kwenda kulipa kodi ya pango.
Huyu mtu ni kabila gani?
 
Je nyumba ikiwa na mita zaidi ya 1?
Izo nyumba zenye mita zaidi ya moja jina linasoma nani mmiliki?

Na kumbuka unapoenda kuomba iyo mita tanesco huwa wanauliza Ni jengo jipya au La,
 
Kwenye nyumba ambazo Tanesco hawajaweza umeme vipi wao hawalipi? Au watawashurutisha Tanesco waweke umeme kila nyumba?
Bado mapato yataongezeka hata kama hawatakusanya ktk nyumba zisizo na Umeme, make ukasanyaji wa zamani, nyumba nyingi zenye Umeme zilikuwa hazilipi kwa Sababu tofauti tofauti na zingine zililimbikiza mpaka miaka 15 bila kulipa, lkn kwa system hii huwezi kulimbikiza hata mwaka labda kwa wasiotumia Umeme
 
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika.

Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela yake.

Amesema mambo mengine yote yatakuwa ‘programmed’ vizuri ili kuepusha watu kupanga foleni ya kwenda kulipa kodi ya pango.
Najaribu kuuelewa huu utaratibu akili inakataa. Au sijui ni huku kukosa kwangu elimu ya MAGAZIJUTO!!
 
Hii ni dalili isiyopendeza yaami kwa nchi changa hivi uwezo wao umeishia hapo kwenye kutubana kwenye necessity? Yani leo luku na vocha ndo wanatumbakizia mizigo yao
 
We
kwa mwezi wanakata Elfu moja, we katika Kodi utakayomlipa mwenye nyumba,Kama kwa miezi sita ni Tsh. 300,000/= basi utamlipa Tsh.294000/=

Sasa hapo nini ambacho kigumu kuelewa
we ndo mwenye Nyumba?.. Hiyo ipo Kisheria ili ije kunilinda baadaye?

Kuna nyumba zina madeni ya Umeme, umeona wapangaji wanavyodhulumiwa?
 
Mwigulu nilikuwa sikubaliani nawe ktk mengi, ila kwa hili nakuunga mkono, haya malalamiko ni kaupepo tu katapita, Mimi ni muumini wa indirect tax coz maumivu yake huwa hayaumizi kama direct tax,
Mimi nashangaa watu kuja na kulalamika bila kuja na mawazo kuweka mambo yawe bora kabisa tukianza kulalamika kwa kila jambo inakuwa kama personal, mimi sio mshabiki wa Mwigulu na hata hili yeye waziri lakini wataalamu wake wameliweka. indirect tax better nakumbuka ilivyowekwa road lincence kwenye Fuel watu walifurahia lakini actual some wanalipa zaidi lakini sababu ni indirect tax huisikii. Naunga mkono idea zozote mpya zitakazoleta ulipaji kuwa rahisi bila maumivi direct. Waziri kasema hili ni wazo lakini details zitakuja watu wameanza waziri wa hovyo bila kusubiri details au kuchangia kuboresha.
 
kwa mwezi wanakata Elfu moja, we katika Kodi utakayomlipa mwenye nyumba,Kama kwa miezi sita ni Tsh. 300,000/= basi utamlipa Tsh.294000/=

Sasa hapo nini ambacho kigumu kuelewa
Mimi nashangaa watu kulalamika tu utasema hiyo alfu 6 watu watakufa njaa isipolipwa kwa Luku italipwa tu kwa njia nyingine huwezi kuikwepa na bado nyumba zenye wapangaji ndio kabisa labda utajikuta unachangia shilling 100 tu na mwenye nyumba atafanya reconciliation kuwarudisha Shilling 100 bado mnataka nini?
 
Yaani nikinunua Umeme wa buku badala ya kupewa unit 2.8 ntapewa unit 2.03 mpaka elf60 yao kwa mwaka ikamilike,ni bora hivyo kuliko kufwata Uso kwa uso na maafisa wa mapato, pia kwa upande wa serikali ni very economically na sanifu.

Acha kupotosha wew elfu 60 gani ?
Wanakata buku kwa mwezi hivyo kufanya 12k kwa mwaka mmoja na sio kama unavyodai wew
 
Back
Top Bottom