Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Kwa hili serikali imefanya vyema sana. Inataka kuwe na compliance kubwa sana, pia administration cost itakuwa negligible kwa sababu the tax will be tapped at source.

Itakuwa na ufanisi kama road licence ambayo inatozwa kwenye mafuta. Hakuna senti inayopotea. Compliance is at excess.
wewe na huyu waziri wako mbumbumbu kamuambie nyumba moja ya mmiliki mmoja yaweza kua na meter za luku kama kumi na tano eneo Hilo hilo sababu kila mpangaji ana luku yake.
Is that too difficult to understand d;(k h£@ds?
 
Umegusia compliance sasa compliance inataka mhusika atoe kodi ya majengo. Sasa kma hiyo burden ya kodi ya majengo inaenda kulipwa na mtu asiyehusika (mpangaji) ilihali hayo makato hayapo kwenye tax bracket yake je hyo ni compliance au ni cascading (Kulipisha kodi mara mbili mbili)

Kulipisha mara mbili ni double taxing. Lkn kama alivyosema waziri, ni kwamba hii ni kodi ya jengo ambayo mmiliki ndiye anayepaswa kulipa. Na ikitokea mpangaji kalipa, badi wenyewe watafanya makubaliano ya kusawazisha. Mimi nilikuwa nikishauri hili liwepo kwenye sheria, ili wajibu wa kila mmoja uwe bayana.
 
Back
Top Bottom