Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Acha kupotosha wew elfu 60 gani ?
Wanakata buku kwa mwezi hivyo kufanya 12k kwa mwaka mmoja na sio kama unavyodai wew
Ndio maana nimeusifu huu utaratibu kwangu itakuwa sherehe, hii direct tax wengine tulikuwa tunabambikiwa kulipa elf60 kwa mwaka, mie maafisa wa mapato walinikadiria hivyo kisa nyumba ina fremu za biashara nne mbele.
 
Mimi nashangaa watu kulalamika tu utasema hiyo alfu 6 watu watakufa njaa isipolipwa kwa Luku italipwa tu kwa njia nyingine huwezi kuikwepa na bado nyumba zenye wapangaji ndio kabisa labda utajikuta unachangia shilling 100 tu na mwenye nyumba atafanya reconciliation kuwarudisha Shilling 100 bado mnataka nini?
Aisee watu wagumu kuelewa sana,wamebakia kulalama, wanalalamika hospitalini madawa hamna, serikali inabuni vyanzo vya mapato ili kuboresha baadhi ya huduma za kijamii, lakini bado majitu yanapinga
 
Acha kupotosha wew elfu 60 gani ?
Wanakata buku kwa mwezi hivyo kufanya 12k kwa mwaka mmoja na sio kama unavyodai wew
Kama system inajali nyumba tu, haingalii mambo ya nyumba ina frem sijui ngapi naomba huu utaratibu uhalakishwe make wengine tulikuwa tunapgwa au afisa anaamua kukukomoa tu bila Sababu za msingi.
 
aisee watu wagumu kuelewa sana,wamebakia kulalama, wanalalamika hospitalini madawa hamna, serikali inabuni vyanzo vya mapato ili kuboresha baadhi ya huduma za kijamii, lakini bado majitu yanapinga
Sisi wa Tanzania hii ndio shida yetu kubwa unaweza kumchukia mtu lakini kama anataka kufanya jambo zuri lazima tumuunge mkono mambo ya kizamani kupiga foleni kulipa kodi ndogondogo yamepitwa na wakati unalipa bila hata kujuwa umelipa. Kodi ni lazima tulipe na hapa hii wala sio kodi mpya bali imeboreshwa tu katika ulipaji lakini tunalalamika.

Kwenye simu watu wanalalamika lakini mimi nadhani ni fair watu walipe kutokana na matumizi yake sio flat tax jambo zuri. Road lincence tulikuwa tunalipa tu bila kujali utumiaji wako wa barabara lakini leo ukitumia zaidi barabara unalipa zaidi lakini sababu inakatwa kila ukijaza mafuta uhisi kitu ni jambo jema.
 
Mimi nashangaa watu kulalamika tu utasema hiyo alfu 6 watu watakufa njaa isipolipwa kwa Luku italipwa tu kwa njia nyingine huwezi kuikwepa na bado nyumba zenye wapangaji ndio kabisa labda utajikuta unachangia shilling 100 tu na mwenye nyumba atafanya reconciliation kuwarudisha Shilling 100 bado mnataka nini?
Naona yanafanyika maandalizi ya pambano la masumbwi kati ya mpangaji na mwenyenyumba kugombea mkanda wa "kurejesheana" hela.
 
Issue ni system za Tanesco zitajuaje hii ni mita ya nyumba ya kawaida ikatwe buku na hili ni ghorofa ikatwe buku 5. Ndio kubambikiwa una ghorofa kumbe kibanda [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Waziri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
Yani wewe ndo jinga kabisa badala ya kuja na mapendekezo ya nini kifanyike kazi yako ni kukejeri, wazo hilo angelitoa mtu kama mbowe ungekuja kusema kuwa mbowe ni akili kubwa shwaini kabisa nyie nyumbu.
 
Sisi wenye solar bila shaka tumepona 😁
 
Naona yanafanyika maandalizi ya pambano la masumbwi kati ya mpangaji na mwenyenyumba kugombea mkanda wa "kurejesheana" hela.
Kwani mwenye nyumba akisema napandisha kodi alfu 1kila mpangaji kuna mtu atakataa?
 
Issue ni system za Tanesco zitajuaje hii ni mita ya nyumba ya kawaida ikatwe buku na hili ni ghorofa ikatwe buku 5. Ndio kubambikiwa una ghorofa kumbe kibanda [emoji3][emoji3][emoji3]
Nadhani we ujajenga bado, ila wenye vibanda tunajua ukienda kuomba umeme Tanesco ,lazima uambatanishe na mchoro wa jengo husika
 
Nadhani we ujajenga bado, ila wenye vibanda tunajua ukienda kuomba umeme Tanesco ,lazima uambatanishe na mchoro wa jengo husika
Kwa nyie mliojenga miaka hii labda. Mimi sikupeleka mchoro na umeme upo. Wewe ghorofa lako ulijenga lini? Na unazungumzia mchoro wa wiring au ramani ya jengo? Chunga sana
 
Hamisa njoo mama utufindishe hii kodi inakuaje🤣🤸🐒
 
Yaani wameshindwa kabisa kutumia kilimo kupata mapesa wanakomaa na simcard. Khee
 
Kwa nyie mliojenga miaka hii labda. Mimi sikupeleka mchoro na umeme upo. Wewe ghorofa lako ulijenga lini? Na unazungumzia mchoro wa wiring au ramani ya jengo? Chunga sana
Jinga wewe, wai kwa shemeji ugali tayari, .
 
Back
Top Bottom