Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

Mimi nafikiri wakati umefika wa kuweka mfumo wa kuwa na Mawazili wa kununuliwa kutoka nje ya nchi kama wachezaji wa mpira (Professional Ministers) ili tukodishe mawaziri kutoka nchi za kigeni tupate mawazo mapya
 
Hawezi kukuelewa huyo pimbi Babati!
 
Mwingulu alinzia bandari ushuru 100% sikusikia mtu akilalamika,akaja kwenye mashine za EFD zinawatesa sana wafanya biashara bado sikusikia watu wakikalamika,tatizo la watanzinia tunashindwa kukemea hizi mambo mapema ukishaona mtu wa kaliba hii ukanyamaza kwasabu ajakugusa basi tia maji na bado huyu jamaa aleta mifumo migi sana ya ajabu
 
Mwigulu bana.. inabidi watengeneze operational plan ya hii kitu

Nyumba nyingi za kupanga anayelipa luku ni mpangaji mwenyewe tena nyumba moja unaweza kuta wapangaji watatu na kila mmoja ana mita yake.
 
Sijawahi kumuunga mkono Mwigulu ktk harakati zake na ungozi wake kea ujumla lkn kwa hili la kulipia kodi ya Jengo kupitia LUKU Mwigulu anastahiki pongezi.

Vv
 
Hivi waziri alishaweka wazi ni asilimia nagapi ya manunuzi ya Luku itakatwa kama kodi ya jengo?
 
Basi nenda kale. Kujikuta unajibu kila comment kumbe empy headed. Mavi ya kuku
Sasa mtu ambae hujui hata Tanesco Wana utaratibu gani mteja anapoenda kuomba umeme, ntakusaidia nini?;!
We endelea kupingapinga tu
 
Sasa mtu ambae hujui hata Tanesco Wana utaratibu gani mteja anapoenda kuomba umeme, ntakusaidia nini?;!
We endelea kupingapinga tu
Hauna unalojua. Nimekuuliza Tanesco wanachukua ramani ya jengo au mchoro wa wiring?
 
Kama ni lazima kuongeza kodi, basi iongezwe kwenye Umeme tu tujue moja na kila anayetumia umeme alipe accordingly.

Wafanye kama walivyoihamishia road licence kwenye wese
 
Hahaha.. Hiki kichekeshao bei gani?
 
Mwigulu nilikuwa sikubaliani nawe ktk mengi, ila kwa hili nakuunga mkono, haya malalamiko ni kaupepo tu katapita, Mimi ni muumini wa indirect tax coz maumivu yake huwa hayaumizi kama direct tax,
Kwa hii comment yako inaonesha dhairi unamiliki nyumba.
 
I don't follow if you can come again please!!?
Umegusia compliance sasa compliance inataka mhusika atoe kodi ya majengo. Sasa kma hiyo burden ya kodi ya majengo inaenda kulipwa na mtu asiyehusika (mpangaji) ilihali hayo makato hayapo kwenye tax bracket yake je hyo ni compliance au ni cascading (Kulipisha kodi mara mbili mbili)
 
Yani wewe ndo jinga kabisa badala ya kuja na mapendekezo ya nini kifanyike kazi yako ni kukejeri, wazo hilo angelitoa mtu kama mbowe ungekuja kusema kuwa mbowe ni akili kubwa shwaini kabisa nyie nyumbu.
Umefua nguo za shem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…