Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

wewe na huyu waziri wako mbumbumbu kamuambie nyumba moja ya mmiliki mmoja yaweza kua na meter za luku kama kumi na tano eneo Hilo hilo sababu kila mpangaji ana luku yake.
Is that too difficult to understand d;(k h£@ds?
 
Ila nyie watu Wengine Ni wagumu kuelewa aisee,
Uyo mpangaji unaesema kanunua Luku yake, siataikata kwenye Kodi yake, Kama kwa miezi sita Laki sita, siatalipa Tsh. 594000.......mbona simple
ni ngumu mwenye nyumba hatakubali
 

Kulipisha mara mbili ni double taxing. Lkn kama alivyosema waziri, ni kwamba hii ni kodi ya jengo ambayo mmiliki ndiye anayepaswa kulipa. Na ikitokea mpangaji kalipa, badi wenyewe watafanya makubaliano ya kusawazisha. Mimi nilikuwa nikishauri hili liwepo kwenye sheria, ili wajibu wa kila mmoja uwe bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…