Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu dhidi ya waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ikiwa ni siku chache tangu Mtanzania mwingine Mkulima kuwafikisha Mahakamani Dk. Mwigulu Nchemba, Januari Makamba, Prof. Makame Mbarawa kutokana na kashfa za ubadhirifu wa mali za umma.