Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

masheikh kutoka maeneo mbalimbali nchini nasikia watakuwepo
Binafsi yangu, mafisadi kiukweli ni wauwaji wa mamilioni ya watu! Hawastahili waishi, bus kukwepa mtu mtu ili likapate ajali na kuteketeza abiria zaidi ya 60 huko, huo ni upumbavu
 

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.​

Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu dhidi ya waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ikiwa ni siku chache tangu Mtanzania mwingine Mkulima kuwafikisha Mahakamani Dk. Mwigulu Nchemba, Januari Makamba, Prof. Makame Mbarawa kutokana na kashfa za ubadhirifu wa mali za umma.​




Itakuwa tarehe ngapi niwahi nikashiriki wametuchosha hawa watu
 
masheikh kutoka maeneo mbalimbali nchini nasikia watakuwepo
Acheni upumbavu nyinyi
Huo ushirikina mnadhani utampata nani?

Someni Albajoto haswaa sio Albadiri tu na hakuna kitakachotokea

Mnaendekeza ushirikina tuu

Katika Uislamu hakuna ibada hii mnotaka kuifanya nyinyi waislamu uchwara

Wapi mtume katufundisha iyo mnayoita Albadiri sijui Albajoto?
 
😁😁😁😁yani feb marope hapendwi mpaka basi apunguze jeuri lakini☺️
 
Back
Top Bottom