Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Waroge tu...Mungu ni mlinzi wa wote...Nadhani hii ndo njia sahihi!hizi njia nyingine hawa mafisadi wanalindana sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waroge tu...Mungu ni mlinzi wa wote...Nadhani hii ndo njia sahihi!hizi njia nyingine hawa mafisadi wanalindana sana!
Okey,Labda ka na wewe albadiri itakuhusu ndo mana una comment uto... skia hìi katiba wala si mbaya saaana kusema haikatazi wala kuwajibisha majizi ila watelezaji ni majizi yanaishi kijamaa
Intelijensia inasemaga The guilties are always afraid 😱 ! 😅😅😅Waombe tu....
Si peke yao wanaojua "maombi"...
To every action there's an equal and opposite reaction [emoji1787]
Nawewe endelea kuota katiba mpya itakuondolea changamoto kwenye nchi yako kama majirani zako wa kenyaOkey,
endelea kiamini ALBADIRI NDIO solution
Ya kusaidia kutatua changamoto zetu za ki maendeleo tangu uhuru😊 😊 hapa nchin TZ
Al Badr , neno Badr ni sehemu ambayo waislam akiwemo Mtume walipigana vita, ni moja kati ya vita kubwa katika siku za mwanzo za uisalam na walikufa waislamu wengi sana,Mkuu una elimu kidogo ya hayo mambo kabla sijatoa mchango wangu ?!!!
KATIBA tuliyo nayo inampa mamlaka makubwa sana Rais wetuNa huo ndio ukweli mchungu 🙏🙏
Exquisite [emoji106]Al Badr, neno Badr ni sehemu ambayo waislam akiwemo Mtume walipigana vita, ni moja kati ya vita kubwa katika siku za mwanzo za uisalam na walikufa waislamu wengi sana,
Kutokana na utukufu wa hao waliokufa kwenye hiyo vita (wafuasi wa Mtume),
Katika kuomba dua, watu wakawa wanawataja majina yao.
Ndio likatokea neno la Al Badr,( the Badr).
Jambo hili ndo limekua likifanyika na kujulikana kama Albadili, halipo katika misingi ya uislamu ukizingatia ni kama kuomba watu waliokufa. Lakini kwakua ni suala la imani, wazee wa zamani walikua na imani juu ya hilo na imani yao mdo ilikua unafanya kazi.
Now days hao wanaojiita masheikh wa kusoma hiyo "albadili" imani yenyewe hawana na hata elimu hawana ya kueleweka.
Kama kuna Nukta nimeacha nijuze
Uchawi upo kila siku...Mungu ni mlinzi wa kila mtu....Wafanye hivo warudie kama mara mbili mara tatu hivi hili tatzo litaisha kabisa
Wachinje Ngamia!Nashauri hiyo albadiri ichinjwe na ng'ombe au mbuzi ka sadaka uone ka mtu atamaliza wiki
Jembe.....
kwamba anasingiziwa? Baraza la Mawaziri lina mawaziri wangapi? kuna waziri mchakazi kama Aweso umeshawahi kumsikia akitoa dhihaka kwa wabunge au wananchi? kwanini watajwe hao tu?Uchawi upo kila siku...Mungu ni mlinzi wa kila mtu....
Mwigulu yupo...
Mbarawa yupo...
Wachinje hata NYANGUMI....Wachinje Ngamia!
Kwamba wao ni Mungu? walikuwepo wenye viburi na dharau wako wapi leo?Wachinje hata NYANGUMI....
Mwigulu yupo...
Mbarawa yupo....
Sasa una compare Tz 🇹🇿 na Kenya ki uchumi???Nawewe endelea kuota katiba mpya itakuondolea changamoto kwenye nchi yako kama majirani zako wa kenya
Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu dhidi ya waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ikiwa ni siku chache tangu Mtanzania mwingine Mkulima kuwafikisha Mahakamani Dk. Mwigulu Nchemba, Januari Makamba, Prof. Makame Mbarawa kutokana na kashfa za ubadhirifu wa mali za umma.
wao wamesema wanakwenda kuwasomea albadir wote waliotajwa ripoti ya CAG hata kama ni mtendaji wa Kata.Kwamba Wizara Zenye Ufisadi ni hizo tuu au Kuna jambo jingine? Upuuzi
Nao Hadi waondoke kama hao unaowataja..Kwamba wao ni Mungu? walikuwepo wenye viburi na dharau wako wapi leo?