Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

Hivi Chama cha wanasheria(TLS) au mwanasheria yoyote hawezi fungua kesi mahamakani dhidi ya ubadhirifu wa malai za umma kwa kutumia taarifa CAG?
CAG anajenga hoja ya kihasibu harafu inatakiwa kujibiwa ndio maana hamna kitu hapo..

Kwa hiyo msijijaze upepo na vitu ambavyo havipo maana kukunua kitu bila nyaraka haimaanishi hicho kitu hakikununuliwa.
 
Nyaraka si ndio uthibitisho? Ungekuwa kiongozi na watu wanawajibika chini yako halafu uwaulize kuhusu walichofanya wakujibu kwamba nyaraka si muhimu ungewaelewa?
Nikikiona Wala Sina shida na nyaraka
 
KATIBA tuliyo nayo inampa mamlaka makubwa sana Rais wetu
Kwenye KATIBA MPYA
Wampunguzie baadhi ya mamlaka zitengenezwe strong institutions zitakazo msaidia mheshimiwa Rais kutimiza majukumu yake.........
Kabisa we need strong Institutions!! Kwa mfano tulimuona Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akizichana karatasi za hotuba ya Rais Trump bungeni mbele yake !!
 
CAG anajenga hoja ya kihasibu harafu inatakiwa kujibiwa ndio maana hamna kitu hapo..

Kwa hiyo msijijaze upepo na vitu ambavyo havipo maana kukunua kitu bila nyaraka haimaanishi hicho kitu hakikununuliwa.
3) When the Controller and Auditor-General has reason to believe that an offence has occurred, he shall refer the matter to the Director of Public Prosecutions for appropriate action........ hii sehemu tu nenda kasome Sheria nzima ya THE PUBLIC AUDIT ACT, 2008... usilishwe matango na watuhumiwa wa ufisadi
 
Hiyo itafanya kazi baada ya kukosa majibu Kwa wahusika na hivyo hatifuta hoja na itatumika kama ushahidi ,Kwa Sasa Bado wahusika wanaendelea kujibu hoja.
 
Sasa una compare Tz 🇹🇿 na Kenya ki uchumi???
Sawa tuna amani tele hapa kwetu Tz 🇹🇿🇹🇿 tunajivunia amani..

Keep in Mind 😀😃 ALBADIRI haito saidia so mtasomea wangap.......................
Uchumi si hoja... hoja ni kwamba Kenya ina matatizo mengi kuliko Tz wakadhani katba itasaidia kumbe buree tatizo ni watu si katiba paseeh...
Note:
Sipingi hitaji la katiba mpya ila lazima wezi tuwasomee albadir
 
Sasa mbona kuna mahakama na polisi huko Uarabuni? Kwanini wasitegemee albadil tu wakaachana na hukumu za wanadamu?
Kwani uarabuni ndo wapi na ndo nn sio? Naongelea kumshtakia kwa Mungu sip binadamu.

Unaelewa kuna sheria za nchi au sehemu zinaposhindwa kabisa kudili na maslahi maana hapo wananchi hawawezi kuishtaki serikali yao basi ni kumuachia Mungu .

Madudu mangapi ynafanya tangu enzi za Nyerere ..je, serikali aliwajibika kama inavyotakiwa?
 
Watu wanaamua kuloga tu baada ya mwenye nchi ,

Nchi kumshinda.
So mnakiri CCM imeshindwa?

Dah mnatia huruma sana nyie mafisadi. Mmefeli Kila kitu ila kutwa kujibeza ooh nchi hatuwezi kuwapa mbwa, mara ikulu ni takatifu.

Wanafiki wakubwa nyie.
 
Wavaa kobazi bhana kwani wale walio msomea makonda iliishia wapi .kujua kiarabu kidogo tu mna hisi mna weza kuchat na Mungu
 
Kwani kua muarabu ndo albadir ??
Soma maoni ya mdau😊😊🤓🤓
Anasema uarabuni kwanini wasitumie ALBADIRI
Instead Kuna mahakama za wanadamu
Mdau anashaur kwanini uarabuni wana mahakama na magereza kama ALBADIRI Ina work out kwann Kuna mahakama??!!
 
Ndo mana wanamahaka ya kadhi mahakama ya kidini... na si kila kitu albadir isipokua yale yaliyoshindikana
 
Back
Top Bottom