Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.

Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu dhidi ya waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ikiwa ni siku chache tangu Mtanzania mwingine Mkulima kuwafikisha Mahakamani Dk. Mwigulu Nchemba, Januari Makamba, Prof. Makame Mbarawa kutokana na kashfa za ubadhirifu wa mali za umma.

Your browser is not able to display this video.
 
Nashauri hiyo albadiri ichinjwe na ng'ombe au mbuzi ka sadaka uone ka mtu atamaliza wiki
 
Kwa namna fulani hili pia ni dongo kwa Sa100 kwamba yeye kama mkuu wa nchi kwakuwa ameshindwa kuwachukulia hatua acha wao(wananchi) wamuombe Mungu atende miujiza maana hawana namna ingine wa kuwasaidia hakuna!.
 
Kazi imeanza watu wamechoshwa ! Wameamua kupeleka mashtaka kwa Hakimu mkuu wa mahakimu wote 🙏🙏 Tusubiri tuone !!
 
Hamna haja ya kutangaza, finyia kwenye suruali wakatafutane mbele
 
Mikwara tu....

Albadiri ni kisomo kinachotokana na kitabu mathalani JALIYATUL QADAR....ni mashuhuda wa Vita vya badri....ni dua/maombi kama mengine yoyote tu.....sema hao "wadigo" wanakwenda KUWAROGA kwa kujifanya wanasoma Albadiri.....

Ikiwa ni maombi basi tujue si uchawi....na maombi hujibu Mungu vile atakavyo ila ALBADIRI UCHAWI (si maombi) kwa Mungu.......

Mwigulu yupo
Mbarawa yupo.....

Mungu ni mlinzi wa kila mmoja wetu.....
 
Binafsi yangu, mafisadi kiukweli ni wauwaji wa mamilioni ya watu! Hawastahili waishi, bus kukwepa mtu mtu ili likapate ajali na kuteketeza abiria zaidi ya 60 huko, huo ni upumbavu
 
Watz wanapenda sana miujiza! Hiyo albadil ingekuwa inafanya kazi kusingekuwa na maovu au kesi za polisi na mahakama huko Saudia, Irani n.k
Albadil haijfanyi miujiza ni kwenda kushtaki kwa Mungu pale mtu unakuwa hauna jinsi ya kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…