saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37.
Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa umetekelezwa kwa 52.
Kama Taifa lazima tupate ukweli wa sababu zilizosababisha Mwigulu na Makamba watangaze taarifa za uongo kuhusu mradi wa Bwawa la Nyerere.
Mradi huu ni wa watanzania wote sio wa familia ya 'WATU WAZURI HAWAFI' ni kwanini sisi kama watanzania tukubali mchezo huu tunaochezewa na Mwigulu na Makamba.
Jambo la aibu Waziri Makamba anasimama mbele ya Rais na kumdanganya tena kwamba yeye anauwezo mkubwa wa kuisimamia sekta ya nishati huku akijua matatizo makubwa yanayoikabili sekta ya nishati baada ya yeye kuwa Waziri.