Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
Siku hizi una tafta teuzi hadi umekuwa Kubwa Jinga.
Hujui kuna implications ktk Cost na mikopo kwa kisingizio cha mradi uko 12% au 37% compared to 52%?
 
WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37.

Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa umetekelezwa kwa 52.

Kama Taifa lazima tupate ukweli wa sababu zilizosababisha Mwigulu na Makamba watangaze taarifa za uongo kuhusu mradi wa Bwawa la Nyerere.

Mradi huu ni wa watanzania wote sio wa familia ya 'WATU WAZURI HAWAFI' ni kwanini sisi kama watanzania tukubali mchezo huu tunaochezewa na Mwigulu na Makamba.

Jambo la aibu Waziri Makamba anasimama mbele ya Rais na kumdanganya tena kwamba yeye anauwezo mkubwa wa kuisimamia sekta ya nishati huku akijua matatizo makubwa yanayoikabili sekta ya nishati baada ya yeye kuwa Waziri.

Wapiga dili wakijandaa 2025 hakuna lingine
 
WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37.

Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa umetekelezwa kwa 52.

Kama Taifa lazima tupate ukweli wa sababu zilizosababisha Mwigulu na Makamba watangaze taarifa za uongo kuhusu mradi wa Bwawa la Nyerere.
Tukisema hao watu hawana akili wala hawajitambui muwe mnaelewa mara moja
 
Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
umemuuliza swali kubwa sana kwa jinsi anavyoshadadia hawezi kuwa na majibu mkuu
 
Cha ajabu 2025 wananchi wao watawapa kura kama kawaida wakiamini ni watu bora kupe ni wajinga wajinga imagine makamba kasoma chuo bora duniani ila akili za hovyo akili fupi kama mzee wake
 
Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
huo uongo unatupa shaka juu ya zile taarifa zingine anazotoa. Kama hapa tumegundua kaongopea taifa (kwa mfano yani) sasa je zile taarifa za mikopo nafuu na madeni, tunahakika gani kweli ni mikopo nafuu?
Serikali haipaswi kutoa taarifa ya uongo kwa namna yeyote ile, je alikua anaficha nini mpaka aongopee uma?
 
Pascal sikutrgemea kama ungeuliza swali kama hili. Mfano unasema bwawa limefika asilimia 32 na zimetumika bil 5, wakati kumbe bwawa limefika asilimia 52. Sasa hiyo asiliamia 32 ikifika 52 si hela zaidi zitakuwa zimetumika na utakuwa umepigwa. kwa maana hiyo bwawa linaweza kuwa limeisha lakini watu wakaendelea kuzuga site tu na pesa zikaendelea kuidhinisha ili kumalizia hizo asilimia hewa.
Rambo mwambie bro Pasko kuwa uongo wowote bila kujali athari ni mbaya,na uongo ndilo tatizo kubwa la mtu mweusi,bw P ajue hilo.
 
Back
Top Bottom