WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Siku hizi una tafta teuzi hadi umekuwa Kubwa Jinga.Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
Hujui kuna implications ktk Cost na mikopo kwa kisingizio cha mradi uko 12% au 37% compared to 52%?