Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Sema huyu nae ukimuangalia vizuri ana mambo ya 🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈 mchunguzeni
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Kinana ataka sheria rafiki kwa maisha ya wanyonge​

THURSDAY SEPTEMBER 01 2022​

Kwahiyo vyombo vya uchunguzi vimeridhika na hayo majibu na vimeenda kulala?
Tena wakiona na hii picha yake ndio watasinzia kabisaaa
 
Attachments

  • PHOTO-2022-09-01-21-26-21.jpg
    PHOTO-2022-09-01-21-26-21.jpg
    54.8 KB · Views: 9
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Jitu liongo utalijua tu

Kwa hiyo zile biashara za kubet ni katuni zile?
 
Jitu liongo utalijua tu

kwa hiyo zile biashara za kubet ni katuni zile?
Anamdanganya maza, sie wengine watoto wa mujini tunazo data zake zote
 
Attachments

  • PHOTO-2022-09-01-21-26-21.jpg
    PHOTO-2022-09-01-21-26-21.jpg
    54.8 KB · Views: 9
Wapi imeandikwa kuhusu watoto wa mawaziri wasome shule fulani? Hizo ni roho cha kichawi na umaskini.
Tuache unafiki tatizo siyo kusoma wapi, anahaki zote asome popote pale anapotaka mtoto wake asome ni haki yake ya msingi; lakini vyanzo vyake vya mapato lazima vijulikane kama mtu mwenye dhamana ya fedha za nchi yetu.

Na kama raia hawana trust na kile viongozi wanachokikiri hadharani basi kuna shida kwenye social capital yetu kama taifa. Huku kusingiziana ni ishara tosha kuwa raia hawawaamini viongozi wao, kinachosaidia ni kuwa hawana choice tu ya kufanya tofauti kwakua wamedhibitiwa.

Kama taifa mambo kama haya ni swala la muda tu kwa mtu anayeona mbali, kadri pressure inavyokuwa kubwa na maisha kuwa magumu any provocation can result in public riot kwakua baloon inaendlea kujaa huku conspiracies zikiendelea kujithibitisha pasipo exhibits...

Lets be objective na ku act responsibily, viongozi wasipende sana kukumbatia mifumo iliyoshindwa kutuvusha moja wapo ni kutoa haki ya wale wanaojisikia wanaweza kuweza kupata hizo nafasi ili uwajibikaji uendane na sifa za mhusika kujenga trust ya public.
 
Mna haki .Yeye ni mbunge waziri. Safari moja tu ya Ulaya posho yake analipa ada mwaka mzima.
Na kwa akili yako hii ni sawa huku huduma za jamii zikiwa zinaelekea kaburini?

Kwanza ni ushamba na ulimbukeni binadamu kutojisikia vibaya kutumia pesa za umma kupata maisha mazuri at the expense ya afya na elimu zao.

Si kosa kuwa na pesa wala maisha mazuri, kosa ni pale unapoenda hazina kujichotea kupitia sheria za nchi pesa zilizochangwa na watu wasio na kipato ili wewe uishi ki royal huku wao wakiwa hawana hata zile basics...Ni laana pia!
 
Tujikite kumpa ushauri badala ya kuendelea kumshambulia mhe waziri.

Na hili la mabasi mwenye ushahidi kuwa ni yake aulete hapa
Unatoaje ushauri kwa mtu ambaye publicly ame declare yeye anajua zaidi ya kila mtu?
Na kwanini apewe ushauri wa bure wakati yeye analipwa kwa kazi aliyoikubali kufanya?

Ebu acheni huo usanii, mtu yeyote ambaye anashindwa kuleta kile raia anachokitamani ni kuwa hana huo uwezo na kama hatuna hiyo mifumo ya kuwajibishana kila siku tutakuwa tunapeana hizi patronage huku wengi wakiendelea kuteseka pasipo wengine kuwajibika...

Ni haki ya raia kuelezwa mambo ambayo atafanyiwa na wagombea nafasi ili kura yake aliyoitoa kuonyesha kuridhia aliyoahidiwa iwe na thamani, vinginenvyo ikitokea tofauti basi awe na uwezo wakumwajibisha huyo kiongozi, nje ya hapo ndiyo hizi miss match kati ya preferences za raia na wale wanaotakiwa kuzi implement hizo preferences
 
Nikikumbuka jinsi yale maghorofa ya Jeshi yalivyokuwa yakihusishwa na Ridhwani Kikwete, ndo utajua hii nchi inapenda uzushi sana. Kila ujenzi inaambiwa Ridhwani huyooo!
 
Nikikumbuka jinsi yale maghorofa ya Jeshi yalivyokuwa yakihusishwa na Ridhwani Kikwete, ndo utajua hii nchi inapenda uzushi sana. Kila ujenzi inaambiwa Ridhwani huyooo!
Ni kwasababu hakuna TRUST jambo la hatari sana, kwa hili mtu anaweza kuwa victimized pasipo exhibits yoyote, haya yakiwa ni matunda ya kukosa mifumo ya kuwajibishana kwakua haki haionekani kutendeka kwa both sides...Tunaishi kwenye very fragile society...Inatisha!
 
Back
Top Bottom