Mbinguni? Nchemba? Ingawa Shetani huenda huko kushtaki, sijui kama huyu ataruhusiwa. Maana anakaribia kumzidi.Nimemsikia pia akisema kuwa viongozi wa CHADEMA wasihangaike na kuzua uongo kuwa Usalama wa Taifa na polisi wanatekeleza mpango wa kukidhoofisha chama hicho kisiasa. kwamba kiongozi wa chadema aliyempa mkanda huo yupo tayari kutoa ushahidi na yeye (NCHEMBA) yupo tayari kutoa ushahidi iwe Bungeni, Polisi, Mahakamani na hata Mbinguni
Wabunge wa TZ wanapoteza muda mwingi kujibizana kuliko kujadiri hoja.. Mh Nchemba amenisikitisha sana maana ameidharau mahakama na amevunja kanuni za bunge huku spika akisema "mkuki kwa nguruwe"😡
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.
Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.
Mbowe alitaja jina?Alivyoongea Mbowe bungeni jana hamkushangaa, leo ndio mnajua kanuni za bunge?
Chadema mmezidi unafiki.
kweli mkuu sheria hairuhusu kujadili mambo yaliyopo mahakamani lakini jana kama ulimsikiliza mbowe kwenye hotuba yake alianza yeye kuongelea haya mambo yaliyoko mahakamani kwa hiyo mbowe alianza mwigulu alikuwa anajibu hotuba ya mbowe
Huyu mwigulu anajitafutia mwisho mbaya kisiasa.