Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

sasa huu ndo wakati ambao tulikuwa tunausubiri wadau wa siasa make mwigulu kasema yuko tayari tusubiri akienda mahakama afunguke halafu tupime sasa ukweli ulipo,zingine ni siasa tu na inabidi wale wenye jaziba za kisiasa wazipunguze tusubiri ukweli
 
Huyo nimchui daraja la 1, Mwigulu Nchemba
 

Hayana tija kwako. Kwetu sisi ametufumbua macho. Go on Mwigulu go
 
Mwigulu anawaudhi sana chadema. To we tanzanians Mwigulu is a great man. Ameinuliwa na Mungu. Nimemsoma he means what he is talking

NAONA MNAJITAHIDI KUMILIKI ACC NYINGI WATU WA LUMUMBA,HII NI DALILI YA KUFILISIKA

Join Date : 10th April 2013

Posts : 9
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Dirt politics, maneno ya kitoto kuwaambia watu wazima mmmh kuna walakini....:rockon:
 
Ninaamini kuwa LISSU ule ugonjwa bado hajapona. hana jipya isipokuwa anarudia speech ya jana ya mbowe
 
Mwigulu is an idiot mwacheni. Pia nimegundua mwigulu ni bosi wa makinda kwenye chama ndio maana amemwacha mwigulu aropoke
 
Huyu mheshimiwa ni naibu katibu mkuu wa CCM Tanganyika hivo dada yetu mkuu hawezi kumwajibisha hapo bungeni. Nimekuwa nakereka na tabia yake ya kutokujikita kwenye hoja husika na kuzungumzia CHADEMA tuu. Hoja ni ya waziri mkuu lakini yeye anakosoa maoni ya upinzani, wapi na wapi? Kama mheshimiwa Mwigulu haelewi nini afanye basi ndio matokeo ya ELIMU yetu hivi sasa.
 
wapenda mabadiriko wote tz tunapaswa kutafakari ili kupata dawa yakumtibu mwigulu mana anakera zaidiya chochote kibaya hapa duniani!
 
mwigulu anawaudhi sana chadema. To we tanzanians mwigulu is a great man. Ameinuliwa na mungu. Nimemsoma he means what he is talking
mwigulu anawaudhi ccm wenye akili timamu lakini vilaza watashangilia kama wewe na kuona ni shujaa hukumu iko mtaaani mmewadanganya mangapi wananchi????
 
sidhani kama wabunge makini wa CCM wanaweza kushangilia maneno ya kipuuzi namna hiyo, hapa CCM wanajimaliza wenyewe!!

Bado Mkuu wa MITUSI - yule mbunge wa mtella naye aje amwage Radhi. tuwapuuzeni hawana jipya, wamebakiza matusi tu : CCM ya leo ni REACTIVE ile ya mwalimu iliuwa PROACTIVE!!
 
Anna Semamba Makinda ameshindwa kazi!
 
Hawahawa kina kiroboto si wanasemaga suala likiwa mahakamani halitakiwagi kuhojiwa/kuzungumziwa bungeni? Au siyo hawa kina Bi. Kiro. . .?

Huyo Mwigulu anasema viongozi wa Chadema wakamatwe akiwa kama nani? Au yeye ndiyo anawaamrisha polisi kukamata hao viongozi?
Mara nyingi tumesikia jeshi la polisi likisema wao hawapangiwi wala kuamrishwa na mtu, wana utaratibu wao wa kufanya kazi sasa hapa Mwigulu anakwenda Bungeni(kwa swala lilipo mahakamani) analitaka jeshi la polisi liwakamate viongozi wa Chadema, sijui inakuwaje hapa?

Mwigulu ameshachanganyikiwa hajui alipoanzia, alipo na anapoelekea. Lazima Mwigulu akamatwe huyu ni muhusika no.1 ktk kesi hii ya kufoji. Ni ngumu kugeuza uwongo kuwa ukweli
 
Alivyoongea Mbowe bungeni jana hamkushangaa, leo ndio mnajua kanuni za bunge?

Chadema mmezidi unafiki.
Mi naona wanapoteza muda wa bunge, muda wetu wa wananchi, kwa kuzungumza suala ambao lipo mahakamani. Sasa wanataka waziri mkuu aje kujibu hili jambo kweli inaingia akilini? Namheshimu sana Lissu ila ningekua na uwezo ningemuomba aendelee na mengine tu.
 
Aibu nyingine
licha ya wabunge wawili kusaidia kufafanua kanuni bado spika hajafanya lolote,angekuwa mchangiaji ni wa opposition angesema afute kauli

Mambo ya kushangaza aliyozungumzia mchangiaji ni kama haya
  • Iweje azungumzie suala ambalo lipo kortini?
  • iweje amzungumzie mbunge mwenzake KUB na kumtuhumu directly bungeni
  • amezungumzia issue ya Igunga je yeye ni hakimu?
  • ametoa nakala ya muandiko wa mtuhumiwa ambacho ni kielelezo cha kesi iweje yeye awe nacho yeye?
ametumia kauli kali sana

Mh spika pia anakagiza wanaotaka mwigulu achukuliwe hatua za kikanuni lakini anasapoti wanaotaka kupinga hoja dhidi ya Tundu Lissu


Big NO to Mwigulu
Big NO NO to spika
kwa mwendo huo hatufiki
 
Bunge kupoteza mwelekeo ni ishara ya kuwa na upinzani dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…