Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Hii nchi inavyoonekana haina baba wala mama! How come spika anamezea uvunjifu wa kanuni za bunge kisa tu mbunge anayevunja kanuni ni wa chama chake?

The day is coming haya yote yatabaki historia.
 
CHADEMA wameshindwa kukubalika kwenye jamii ndiyo maana wameshindwa kwenye uchaguzi wa mabaraza ya katiba
 
mwigulu pia amewataka viongozi wa chadema waache kusingizia vyombo vya dola badala yake wajitizame upya na kujisafisha kwani walionaswa na video ni viongozi wa chadema
 
Ni wakati sasa vijana muamke na kukataa kutumika kama misukule,
Niliishawaasa kuwa hawa jamaa ni deal mkers mkaishia kunitukana kwa sababu mnamuabudu sana DJ na hela zake za urithi.
Mnajua kuwa zile vurugu za Iringa vijana walitumwa kufanya vurugu wakati viongozi wote walijifungia MR HOTEL wakiangalia kwenye TV?
 
Wakati Lissu anashindilia misumali wa mwisho kwa Nchemba, Spika anamzuia Lissu asimchane Nchemba kuwa anakwenda nje ya kanuni. Wabunge wa upinzani wamekomaa. Ina mana hiyo kesi imepelekwa mahakamani baada ya Nchemba kumaliza kutukana?? Kwanini kunakuwa na unfair treatments ndani ya Bunge???

Spika anataka kutuaminisha na kutudanganya kuwa Nchemba alikuwa akijibu hotuba ya Mbowe, kitu ambacho si kweli na ni kinyume cha taratibu kwani Nchemba hana hadhi ya kujibu hotuba ya Mbowe (Mkuu wa kambi rasmi ya Upinzan), Hotuba ya Mbowe inatakiwa/ina hadhi ya kujibiwa na Waziri Mkuu.

Hili Bunge limejaa uonevu sana bila umakini litatuingiza kwenye machafuko. Spika hana uwezo wa kuendesha bunge bila upendeleo, ipo haja kutafakari mwenendo wa Bunge letu.
 
mwigulu pia amewataka viongozi wa chadema popote walipo wakimbilie makanisani haraka kwenda kuungama kwa matendo yao maovu ya kigaidi na mipango haramu ya mauaji ya raia wema
 

au sio!
 

Mbowe katika hotuba yake alitaja jina la Mtu? na je unajua kanuni za Bunge zinasemaje juu ya kutaja Jina la mtu Bungeni? Tuache ushabiki ndugu yote yanayotokea Bungeni mimi na wewe tunatakiwa kuyakemee kwa nguvu zote ili Bunge liwe na Tija kwa maendeleo yetu.
 
CHADEMA wameshindwa kukubalika kwenye jamii ndiyo maana wameshindwa kwenye uchaguzi wa mabaraza ya katiba

nasikia waliandaa watu wao halafu wanaichi hawajawachagua ndiyo maana wanahaa.
 
mwigulu Nchemba amesema kuwa mipango ya mauaji dhidi ya DENIS MSAKI ISINGEBAINIKA MAPEMA ANGETEKWA NA KUTESWA KAMA ILIVYOONEKANA KWENYE VIDEO
 

Jana ulisikia hotuba ya MBOWE? Je kwa maoni yako hakuzungumza mambo ambayo yapo mahakamani?
 

mungu akulehemu.
 
Akidhani kuwa ameshinda Kwa uharo wake. Tundu Lissu amemvua nguo kwa kuanika kuhusu malipo ambayo Mwigulu ameyafanya Kwa wanaoitwa Magaidi Na kuwasiliana naye Mara nyingi kuliko anavyowasiliana Na Mke wake.
 

==Tundu Lissu nae amesema Mwigulu Nchemba INABIDI AKAMATWE KWA SABABU ANAWASILIANA NA MAGAIDI NA NDIYE ANAYEWALIPA PESA==TBC1 BUNGE LA LEO
 
CHADEMA sio chama makini.

Unawezaji kupeleka issue iliyopo mahakamani ikajadiliwe bungeni? Mbowe na CHADEMA walichemka jana!
 
mwigulu Nchemba amesema kuwa mipango ya mauaji dhidi ya DENIS MSAKI ISINGEBAINIKA MAPEMA ANGETEKWA NA KUTESWA KAMA ILIVYOONEKANA KWENYE VIDEO

kwa kupewa dawa za usingizi,kutekw,kwenda kutupwa kigamboni
 
Huyu mwigulu mjinga na anamtindio wa ubongo. Anaongeleaje kitu kilichopo mahakamani
mbowe ndio alianza kuongelea hilo suala wakati liko mahakamani na akamtaja mwigulu.alichokifanya mwiguru ni kuhit back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…