Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

 
nasikia waliandaa watu wao halafu wanaichi hawajawachagua ndiyo maana wanahaa.

sure. si unakumbuka yule jamaa aliyerusha thread kuwa pamoja na kuwa yeye (wa chadema) ana shahada ya kwanza, alishindwa kwenye uchaguzi huo na watu wanaojua kusoma na kuandika tu. hata darasa la saba hawakufika. kweli chadema wameumbuka
 

mkuu ulianza vzr maelezo yako lkn baadae ukanichanganya kidogo haswa ulipoongelea 'Mwanamke' badala ya CHEO chake TU Yaani 'SPIKA' kwa kifupi napenda sana hoja zinazolala kwenye FACTS not ushabiki kisiasa!!!
 
Akidhani kuwa ameshinda
Kwa uharo wake. Tundu Lissu amemvua nguo kwa kuanika kuhusu malipo
ambayo Mwigulu ameyafanya Kwa wanaoitwa Magaidi Na kuwasiliana naye Mara
nyingi kuliko anavyowasiliana Na Mke wake.

Sio "mke wake", sema wake zake, jamaa ana damu ya uzinzi kama yule mgonjwa wetu wa kifafa anayeanguka hovyo majukwaani...
 
mie ningekuwa mwenyekiti wa chadema, leo hii ningejiuzuru kutokana na kashfa ya ugaidi ya LWAKATARE
 
mwigulu pia amewataka viongozi wa chadema popote walipo wakimbilie makanisani haraka kwenda kuungama kwa matendo yao maovu ya kigaidi na mipango haramu ya mauaji ya raia wema
Hata wakina Zitto Zuberi Kabwe waende makanisani?
 
Leo kama watu hawakupigna kwenye viwanja vya bunge sijui.
 
Nafikiri Mwigulu ni tatizo kila mahali hata kwa chama chake,sio mtu wa kucheka naye atawafikisha pabaya,maneno yake hayana staha,heshima wala uvumilivu wa kisiasa,yeye siasa anaona kama vile ni vita,ugomvi,uadui na uhasama wakati kukosoana ni jambo la kawaida kabisa katika siasa,huyu mtu naona hata uwezo wake kifikra,kimawazo,busara na sifa zote zinazoambatana na hayo niliyoandika hana na hastahili kuwa hata kiongozi wa kijiji nashangaa sana nafasi kubwa namna hiyo ameipataje kwa vile mtu mwenye busara ,hekima ,na uadilifu hupimwa kwa mwenendo,matendo,maneno na tabia yake.Huyu akiachwa kuendeleza siasa zake hizi atatuletea matatizo makubwa katika Taifa letu ,sisi ambao hatuko ktk vyama tunapata shida ya kuchagua chama kama naibu katibu mkuu wa chama tawala ni mtu mropokaji maneno ysiyo na staha kiasi hicho je wasaidizi wake si ndiyo balaa tupu?
 
Mkuu Chilipamwao bahati mbaya niko mbali na TV unaweza kutujua alichosema Lissu.

Akidhani kuwa ameshinda Kwa uharo wake. Tundu Lissu amemvua nguo kwa kuanika kuhusu malipo ambayo Mwigulu ameyafanya Kwa wanaoitwa Magaidi Na kuwasiliana naye Mara nyingi kuliko anavyowasiliana Na Mke wake.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Lissu, kama Mwigulu alidhani hili jambo litamsaidia yeye na chama chake nadhani amejua sasa kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Nccr mageuzi, Cuf na Chadema..au alidhani ile slogan ya hakuna kulala ipo tu kuwafurabisha watu! kudadadeki, nimempenda sana lissu leo..
 
CHADEMA sio chama makini.

Unawezaji kupeleka issue iliyopo mahakamani ikajadiliwe bungeni? Mbowe na CHADEMA walichemka jana!

sasa wewe unafikiri mbowe atapeleka nini jaribu kufuatilia michango yake bungeni then utapata majibu.
 
Alivyoongea Mbowe bungeni jana hamkushangaa, leo ndio mnajua kanuni za bunge?

Chadema mmezidi unafiki.

mbowe hakutaja jina la mtu..jueni sheria nyinyi,hajataja jina la lwakatare
 
CHADEMA wameshindwa kukubalika kwenye jamii ndiyo maana wameshindwa kwenye uchaguzi wa mabaraza ya katiba

Hakuna unachokijua juu ya hili kama akili zako zipo sawa wajumbe wa WDC katika maeneo mengi nchini ni wa chama gani? mtu alichaguliwa na wananchi na akapata kura (350) 80 - 90% lakini anakuja kuondolewa na wapiga kura 6 je kwa akili na mawazo yako CDM haikubaliki? linganisha watu 350 waliomchagua na hao 6 waliomnyima kura.
 
Mwigulu yapaswa akapimwe akili,vitendo vyake haviendani na mtu mwenye kujiheshimu
 
Bunge la vituko,tujiandae kupokea comedy za kutosha.!!!!
 
Akijibu hoja ya Spika kwamba masuala yaliyopo mahakamani yaheshimiwe:

"Mheshimiwa Spika, mimi sijazungumzia masuala yaliyopo mahakamani, suala la mawasiliano kuhusiana na kesi ya ugaidi na marafiki zao humu ndani halipo mahakamani."

I just love this guy!
 
wapenda mabadiriko wote tz tunapaswa kutafakari ili kupata dawa yakumtibu mwigulu mana anakera zaidiya chochote kibaya hapa duniani!

Kama kawaida yenu Muandalieni mipango ya kumteka na kumtesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…