Mwigulu Nchemba hafai kuongoza Wizara ya Fedha

  • mfumuko wa bei
  • doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
  • deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Mimi ni Mmoja wa Watesi ( Critics ) wa Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ila katika hili namtetea tena kwa 100% kwani ni Maamuzi ya Kisheria ambayo yametujumuisha Watanzania wote kupitia Wawakilishi wetu ambao ni Wabunge wa JMT na kama ni lawama tuzipeleke Kwao ili tutende haki na siyo Kumchukia tu Waziri.
 
Umejitoa betri sio?
Hopeless kabisa!
 
Wanaposema watanzania wameridhia Tozo sielewi?? Hao watanzania ndo wako wapi ??
Ety jamaniiiiiiiiii....
Au kuna kura za ndio wenzangu zimepita huko majumbani kwenu kuridhia?? Huku kwetu hawajapita kabisa........

Au wenzangu mliulizwa kwenye cm na government,mkaridhia ....

Me mwenzenu cjaulizwa,kupigiwa cm hata kutumiwa sms fupi??

Watanzania walioikubali TOZO wako wapi niwaone?? Japo nione sura zao km ni kweli wa Tz....au walowezi!! Nikiwaona nahic roho itaridhika
 
Ndugu mtangazaji wala huhitaji kunitilia shaka hata kidogo, hapa unaongea na dokta wa uchumi.......🤣
 
  • mfumuko wa bei
  • doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
  • deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Hata kuongoza kijiji hafai
 
  • mfumuko wa bei
  • doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
  • deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Serikali nzima haifai. Nchi insongozwa na wazanzibari. Huyo mama hajali kitu
 
  • mfumuko wa bei
  • doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
  • deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Deni la taifa limeongezekaji kwa zaidi ya asilimia 10, toa ushahidi usiseme kwa kua unataka kusema
 
Mimi ni Mmoja wa Watesi ( Critics ) wa Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ila katika hili namtetea tena kwa 100% kwani ni Maamuzi ya Kisheria ambayo yametujumuisha Watanzania wote kupitia Wawakilishi wetu ambao ni Wabunge wa JMT na kama ni lawama tuzipeleke Kwao ili tutende haki na siyo Kumchukia tu Waziri.
CCM ilijiweka madarakani kwa kuzima sauti na uhuru wa watanzania. CCM dictatorship largely created by the late Magufuli is the real enemy...
 
  • mfumuko wa bei
  • doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
  • deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Mlete maaako awe waziri

USSR
 
Back
Top Bottom