USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mwigulu ni mjumbe tuMimi ni Mmoja wa Watesi ( Critics ) wa Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ila katika hili namtetea tena kwa 100% kwani ni Maamuzi ya Kisheria ambayo yametujumuisha Watanzania wote kupitia Wawakilishi wetu ambao ni Wabunge wa JMT na kama ni lawama tuzipeleke Kwao ili tutende haki na siyo Kumchukia tu Waziri.
USSR