Mwigulu ni mjumbe tuMimi ni Mmoja wa Watesi ( Critics ) wa Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ila katika hili namtetea tena kwa 100% kwani ni Maamuzi ya Kisheria ambayo yametujumuisha Watanzania wote kupitia Wawakilishi wetu ambao ni Wabunge wa JMT na kama ni lawama tuzipeleke Kwao ili tutende haki na siyo Kumchukia tu Waziri.
Kupitia sisi wazalendoWanaposema watanzania wameridhia Tozo sielewi?? Hao watanzania ndo wako wapi ??
Ety jamaniiiiiiiiii....
Au kuna kura za ndio wenzangu zimepita huko majumbani kwenu kuridhia?? Huku kwetu hawajapita kabisa........
Au wenzangu mliulizwa kwenye cm na government,mkaridhia ....
Me mwenzenu cjaulizwa,kupigiwa cm hata kutumiwa sms fupi??
Watanzania walioikubali TOZO wako wapi niwaone?? Japo nione sura zao km ni kweli wa Tz....au walowezi!! Nikiwaona nahic roho itaridhika
Mmeahamia kwa wazanzibari sio wasikuma tena ,Sasa mnaonekana wabaguziSerikali nzima haifai. Nchi insongozwa na wazanzibari. Huyo mama hajali kitu
Hana jibu huyu kilazaDeni la taifa limeongezekaji kwa zaidi ya asilimia 10, toa ushahidi usiseme kwa kua unataka kusema
Mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani ndio huuCCM ilijiweka madarakani kwa kuzima sauti na uhuru wa watanzania. CCM dictatorship largely created by the late Magufuli is the real enemy...
So hapo ulipo umebananishwa kwenye Kona ya kitanda unashuglikiwaCCM imeshajua watz ni makondoo hamna cha kuwafanya ndiyomaana wamewabananisha kwenye kona ya kitanda kweri-kweri.
Wewe na umataga wako wote umekamatiwa chini unafurukuta unarusha miguu kimya-kimya 🤣So hapo ulipo umebananishwa kwenye Kona ya kitanda unashuglikiwa
USSR
Hujui chochote na ww ni mpigaji kama yy wabunge ndio waliopanga kweny ml 1 ikatwe 30000Mimi ni Mmoja wa Watesi ( Critics ) wa Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ila katika hili namtetea tena kwa 100% kwani ni Maamuzi ya Kisheria ambayo yametujumuisha Watanzania wote kupitia Wawakilishi wetu ambao ni Wabunge wa JMT na kama ni lawama tuzipeleke Kwao ili tutende haki na siyo Kumchukia tu Waziri.
Huyu mama anatupeleka enzi za Kikwete, wizi etc waliua Magufuli ili wale nchi. Samia oyeeeeeeMmeahamia kwa wazanzibari sio wasikuma tena ,Sasa mnaonekana wabaguzi
USSR
Serikali yote na huyu Bibi Tozo tuliyenaye hawafai!
- mfumuko wa bei
- doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
- deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Utakuwa hujui!Kumlaumu Mwigulu ni kumwonea tu. Hakuna kitu kinapita kwa mawmuzi yake binafsi. CCM ni ile ile.
Tatizo wananchi hawana imani kama hizo tozo hazitapigwa kama kawaLakini si mnapenda mkopeshwe kuliko kutumia pesa za ndani?
Onyesha ushahidi kuwa zimeshapokea helaOrodha ya vituo vya afya View attachment 1902248