Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

Yehova shuka haraka mweh mweh
Dokita ndio huyu
Elimu za copy n paste matokeo yake ni haya
Eti mkopo utalipwa na serikali uwiiiiii
Bro rudi masomoni
Serikali inatoa wapi pesa? Pesa ni kodi ya wananchi kwa maana hiyo wananchi ndio wanaolipa mikopo mnaofaidi ni ninyi mliokalia viti
Shida si kukopa shida ni nani anafaidika na hii mikopo
Ndio maana huwa mnasema Rais katoa pesa
Basi lipeni mikopo kwa mishahara yenu nyie si ndio serikali

Hii nchi ujinga upumbavu na umaskini wa akili unatuponza
Tunaomba waziri wa fedha aliyesoma akasomeka sio huu uigizaji

Chama cha mananilii kupeana vyeo kama fadhila mnalitesa Taifa
Mtaitwa mbele ya haki watoto na wajukuu zenu wataishi kwa mateso sana
 
Mkuu hii nchi ni ya kishamba sana, hasa linapokuja suala la kisiasa bila kujali linaathiri wananchi kwa kiasi gani. Tatizo 99% ya wananchi hawafahamu namna siasa na wanasiasa wa ovyo kama Mwigulu Nchemba wanavyoathiri maisha yao moja kwa moja. Ushabiki na mihemko ya kisiasa inaathiri watanzania wengi, hasa pale wanapochukulia ushabiki wa kisiasa kama ushabiki wa Yanga na Simba pasipo kung'amua kwamba ushabiki wa siasa una gharama kubwa zaidi ya ushabiki wa mpira. Mijitu mingi jamii ya Mwigulu Nchemba imo mle bungeni kwa sababu ya uzuzu na uzezeta wa wapiga kura. Nchi hii ni ngumu sana asikuambie mtu.
 
"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"

"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.

My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Huu ni umbumbumbu sasa. Watu wa kanda ya kati sijui wamelogwa!!!
 
Kweli kabisa mkuu. Hata MwanaHalisi Online imeandika pia. Swali la Msingi. Tozo ni kodi mpya ya Simu. Wizara ya Fedha siyo ya Muungano. Watu mil1 wa Zenj watozwe zao. Na sisi mil 60 tutozwe kwa maendeleo yetu. Ratio ni ileile. Why pesa za Bara ziende Zanzibar?

Walikomaa Zanzibar ikope kama nchi. Wameruhusiwa tiyar. Ni kwa nn pesa za Tanganyika Ziende Zanzibar?

Hii habar ni kubwa sana kama umesikia kwa uhakika. Ebu ihanzishie THREAD yake
 
@JAMII FORUMS siku hizi wamegeuka WAKALA wa serikali. Nili anzisha uzi wakafuta. Ika bidi nilete kama Comment!!
 
"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"

"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.

My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
With due respect Mr. Minister, is this the approach on how to argue about burning issues!?

Hivi ni kweli mambo yahusuyo sera za "monetary & fiscal" zinaweza kupata majibu kwa kupitia tafsiri rahisi ya namna hiyo ya jinsi ya nchi kuweza kulipa madeni yake?

Hivi ukiwa kama fanani unadhani hadhira yako ni makundi ya watu wa namna gani? Je! Hutambui kuna watu wenye uwezo wa kufanya tathmini ya kina kuhusu kile unachokisema kama waziri mwenye dhamana, ama hujali kabisa kwa kuwa huoni haja ya kufanya hivyo?
 
Ivi hawa viongozi wanatuona sisi ni wapumbavu kwamba hatuna akili hata kidogo maana hata mtoto wa darasa la 5 ukimwambia huo utatumbo atakuwa na swali kuwa hiyo serikali inatoa wapi izo hela?
 
"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali"

"Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja tulipie deni la Taifa haipo siku hiyo, inalipiwa kwenye mapato ya Serikali"——— Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mbele ya Rais Samia Ikulu,Dar es alaam leo.

My Take
Nchi yangu ina bahati mbaya kuwa na mawaziri "cheap" kiasi hiki. Hivi hizi kodi tunazolipa si ni zaidi ya hodi?
Huyu ni taahira, kwani tunavyotozwa pesa kwenye miamala ili tukalipe mikopo kuna tofauti gani na kugongewa hodi mlangoni kudaiwa pesa? Hii haihalalishi kukopa trillioni 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati ( hasa madawati) tena bila ruhusu ya bunge, hili lazima liondoke na mtu!
 
Pointeless !!! Hizo hela zinazotumika kulipia hayo madeni kupitia makato ya kodi/tozo/ushuru n.k. zinatoka wapi !!!??? Wananchi sio wajinga kama ambavyo baadhi ya watu wanavyofikiri au kujiaminisha.
Sasa si ndo madeni yote duniani hulipwa kwa style hiyo, au mlitakaje yaani?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu. Hata MwanaHalisi Online imeandika pia. Swali la Msingi. Tozo ni kodi mpya ya Simu. Wizara ya Fedha siyo ya Muungano. Watu mil1 wa Zenj watozwe zao. Na sisi mil 60 tutozwe kwa maendeleo yetu. Ratio ni ileile. Why pesa za Bara ziende Zanzibar?

Walikomaa Zanzibar ikope kama nchi. Wameruhusiwa tiyar. Ni kwa nn pesa za Tanganyika Ziende Zanzibar?
kwahiyo wazanzibari wakifanya miamala ya sim wao hawatozwi tozo? kama wanatozwa unataka wao wakatwe tozo halafu wafaidike Tanganyika pekee?
 
Haitakiwi kupewa hata shs1. Hii ni tozo. Ratio ni ileile. Zanzibar ina watu wake sijui mil 2. Bara ina watu wake Mil 60. Why pesa za tozo za simu za Bara ziende Zanzibar? Hii maana yake wao wana faidi mara 2.
Wazanzibari wakifanya miamala hawakatwi tozo? hivi hua mkiandika mnafikiri au mnasukumwa na chuki zilizowajaa vifuani
 
kwahiyo wazanzibari wakifanya miamala ya sim wao hawatozwi tozo? kama wanatozwa unataka wao wakatwe tozo halafu wafaidike Tanganyika pekee?
Zanzibar si wanajidai ni Nchi. Inajitegemeakwa kila kitu. Je hawana Mamlaka za kukusanya tozo zao? Mbona Simu za Tz kwenda Kenya zinatozwa vzr tu. Wao pia Watoze zao wenyewe huko tuone kama watafikisha hata Bill 5 kwa Mwezi.
 
wewe kumbe huna ujualo, kumbe hata suala la mawasiliano hujui kama ni jambo la muungano? pole
 
Wazanzibari wakifanya miamala hawakatwi tozo? hivi hua mkiandika mnafikiri au mnasukumwa na chuki zilizowajaa vifuani
Kila mtu ajitegemee. Watu mil 2 sawa na mkoa wa Arusha. Hawana uwezo wa kupata tozo Bil 161 kwa mwezi. Wakijitahidi ni Bil 5 tu. Hatutaki unyonyaji wa rasilimali za Bara kwa kutumia Rais wa Zanzibar. Kila mbuzi ale kwa urefu wa Kamba yake.
 
wewe kumbe huna ujualo, kumbe hata suala la mawasiliano hujui kama ni jambo la muungano? pole
Mawasiliano yahusikaje na tozo? Tozo ni Wizara ya Fedha. Jana uliona aliongea Waziri wa Mawasiliano? Hatutaki Muungano wa unyonyaji.
 
Back
Top Bottom