Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa



Kwanini watu kama hawa tusiwalipe vizuri tu wakafundishe vyuo vyetu baada ya kustaafu na kutuachia urithi wa akili zao kwa vijana wengi; kuliko kuingia kwenye siasa.

Aisee Kimei amebobea kwenye maswala ya finance, uchumi na business strategy. Yaani nimesikiliza hiyo interview mpaka raha nimejifunza mambo mengi sana.

Ningekuwa Mwigulu wakati nina access na huyo mtu ningemtumia kwenye mambo mengi huyo mzee he is very strategic and knowledgeable kwenye maswala ya finance na uchumi.

Na ningekuwa afisa usalama ningeakikisha Kimei anaishia kufundisha wanafunzi chuo kikuu masomo ya uchumi, finance na business strategies.

Kama utapata kuisikiliza hiyo interview yote hope na wewe utajifunza mengi kama mimi katika mambo mbalimbali aliyoyaongelea with Tanzanian economic perspective.

Ajabu yenyewe mtu mwenye miakili yote leo hajui mwaka wa budget unaanza lini; ama kweli ukiingia CCM vua ubongo wa akili.

Huyu mtu afukuzwe bungeni akafundishe that knowledge has to be shared.

You can only appreciate him if you understand the theoretical concept he was talking about and how he interprets them to Tanzania context.
 
Walio mpa hiyo PhD inabidi sasa wachunguzwe kwa uhujumu wa elimu... Iweje muhitimu wao awe na mawazo finyu kama hayo na mawazo duni kwa level yake ya PhD? ni lini serikali ikawa na fedha zake? ina vitega uchumi gani vya kuongeza mapatol? imewekeweza wapi ? ni kodi za wananchi zitakazotumika kulipa deni, hizo kodi zinatokea wapi kama sio kwa wananchi na makampuni binafsi ? Huyi Nchemba siku marejesho yakifika sijui atakuwa yupo wapi na atakuja na sounds gani wakati huo...
Ndio washauri wa mama yenu hao.
Jobo na upuuzi wake wote alikua sahihi kabisa kukosoa.wamemshukia km mwewe ili waendelee kupiga.
 
Kumbe hatukumuelewa prof Kabudi
Kweli pale ni Jalalani
Kwahizi PhD za kina Mwigulu!!
PHD watanzania wana mashaka sana Mwigulu anatuambia mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wapya laki 7.5 na nusu, mwaka ujao wataongezeka kuwa 1.5 million surely huyu mtu anatuona watanzania wote wajinga kama wanakijiji wenzake wa Iramba.

I don’t even know what linear equation was used to justify the rate of child birth for a population to double in one year.

The nonsense is beyond me.

Binafsi sio shabiki wa Kimei kupewa nafasi tena, ila yupo hai vijana kama Mwigulu wamtumie kuchota akili.
 
Tutalipa kwa njia moja ama nyingine. Huyu jamaa asituone sisi vilaza kiasi hiki
 
Kilatha,

..chombo gani cha habari hapa Tz kinaweza kufanya mahojiano ya kitaaluma kama hayo na Dr.Kimei?

..kuna mambo Watz lazima tuyaweke sawa haraka sana vinginevyo dunia itakuja kutucheka.
 
PHD watanzania wana mashaka sana Mwigulu anatuambia mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wapya laki 7.5 na nusu, mwaka ujao wataongezeka kuwa 1.5 million surely huyu mtu anatuona watanzania wote wajinga kama wanakijiji wenzake wa Iramba.

I don’t even know what linear equation was used to justify the rate of child birth for a population to double in one year.

The nonsense is beyond me.

Binafsi sio shabiki wa Kimei kupewa nafasi tena, ila yupo hai vijana kama Mwigulu wamtumie kuchota akili.
Sijawahi onaphd holder kilaza km huyu mbwiga.
Tunapigwa na vitu vizito vizito duh.
 
Kilatha,

..chombo gani cha habari hapa Tz kinaweza kufanya mahojiano ya kitaaluma kama hayo na Dr.Kimei?

..kuna mambo Watz lazima tuyaweke sawa haraka sana vinginevyo dunia itakuja kutucheka.
It requires sectorial knowledge.

Ukiisikiliza hiyo interview Kimei kaongelea hiyo issue. Wao wenyewe kama taasisi kubwa walikuwa wanawajengea wazawa uwezo wa banking knowledge in collaboration with international institutions ili wahitimu wawe na viwango vya kimataifa.

Sasa utegemei mtanzania ambae kapewa banking skills aitumie kuandika gazeti la Nipashe au afanye kazi TBC wakati kuna financial institutional za kumuajiri na kumlipa vizuri; if anything kibongo bongo ni aina ya watu ambao ukikutana nao wanamajivuno.

Maana hadi kupewa hiyo opportunity ni mission kidogo (best you listen to the interview) how the succession planning works and capacity building works in CRDB; it’s kind of privilege opportunity.

But then yeye akienda kufundisha chuo kikuu anaweza tufyatulia wengi wa haraka haraka wengine wakaishia kuwa media analysts.
 
Sijawahi onaphd holder kilaza km huyu mbwiga.
Tunapigwa na vitu vizito vizito duh.
Ata sijui anatuonaje, anao uelewa ila kuna wasaa anakuwa na uongo wa kishamba utadhani watanzania wote tumetoka kijijini kwao Iramba.
 
Anaposema serkali italipa anamaanisha nini?
1. Kwamba Tozo si za wananchi
2. Kuwa kodi ya mwananchi
3. Kwamba maliasili si za wananchi
Hivi Serkali ina mapato tofauti na wananchi na maliasili zao?

Huyu ni Phd holder
Yaani jamaa alijiapizaga kwamba ikifika decemba fulani kabla hata ya tarehe 25 ukweli utadhihirika, magaidi watajulikana. Wakati ule akiwa waziri wa mambo ya ndani. Alikuwa akiwalenga CHADEMA sikumwelewa kabisa mziki wa Kibiti ulipokolea akapotelea pwete!
 
Huyu jamaa ni mchumi wa wapi huyu !?

Serikali ndio wanachi au anadhani serikali ni yeye na rais tu

Hizo hela za kulipa wanazitoa wapi kama sio kodi za wananchi au wanazichuma somewhere !?

Kama bado ana ndoto urais he is nothing hafit hata chembe
 
Hapo ametudanganya na viongozi waongo na wadanganyifu kama Hawa wakemewe.
Hiyo kwanza ni dharau ya kuwaona watanzania ni wajinga
 
===
Watanzania hatupendi figisu. Lakini wasitusukume kwenye kona.
 
Hivi huyu #Mwigulu Nchemba ana akili timamu kweli?
Anaposema serikali italipa anakua na maana Gani,Ina maana kumbe serikali ni genge la Watu wachache waliohodhi rasilimali za hili taifa na wanafanya mambo Kwa matakwa Yao binafsi au Sio,
Hii kauli mbaya Sana na inaonesha dharau kubwa kutoka Kwa huyu bwana mbele za wananchi,
iseee nimejikuta na hasira Sana Aisee Hivi Hawa Watu wanatuona Watanzania mazuzu Sana kumbe,
Hio mizigo ya madeni inatufanya tushindwe kuendelea Ili Hali tuna rasilimali chungu mzima,
We are fighting for nothing since 1961 Bado tunakopa fedha za kujengea matundu ya vyoo
Shame!
Sisi ni ma zuzu ndiyo, hatuna cha kufanya huyo mwigulu kwani hayupo pale kwa utashi wetu.
 
Wananchi ndio wanalipa labda adanganya wajinga?

Kwanza yeye na wenzie wanakatwa kodi?
 
Anaposema serkali italipa anamaanisha nini?
1. Kwamba Tozo si za wananchi
2. Kuwa kodi ya mwananchi
3. Kwamba maliasili si za wananchi
Hivi Serkali ina mapato tofauti na wananchi na maliasili zao?

Huyu ni Phd holder
Bora hata ya mwanangu docta Msukuma maana hawq ndo wasomi wetu wanatuambia maneno marahisi kama vile sisi ni mazuzu hatujui hela ndo tunailipa sisi hata km hawapigi hodi ila cha moto tunakiona.
 
Back
Top Bottom