mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui.
Unafanya kitu kizuri ila kitakucost.
Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu.
Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana na tozo na mfumuko wa bei kwa akili za kibongo watadhani unatuibia ili ugharamie timu yako, maana kuendesha timu ni gharama sana, kuwalisha wanaume zaidi ya arobaini na familia zao dio mchezo,utasema una wafadhili ila ukweli lazima na wewe mfuko utoboke.
Jimboni utapata credit ila kitaifa inakuharibia.
Ushauri wangi ungeendelea tu kushabikia Yanga yako ukaachana kushindana na Mo na GSM wakati mshahara wako tunaujua na umetoka familia duni kabisa.