Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

Picha hii huwa tunairusha kwa kebehi lakini kwake ni ushuhuda wa nguvu. Tena akiiona anakucheka uliyerusha kwa kebehi kwani yeye yuko hazina ya nchi anajilia taratibu huku wewe ukiteseka mtaani yeye anakula kodi yako taratibu.😁😁😁
Tunairusha kumkumbusha kuwa maisha ni mzunguko
 
Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu.
Simpendi Nchemba, ila Nimekupuuza saana Kwa huu ujinga ulioandika hapa!

Yaani usichokipenda wewe Kwa mwingine ni uhuni?

Andiko la hovyo sana kuwahi kutokea hili
 
Poleni sana. Watu huwaita watu wa Singapore kuwa Ni wa barabara ya vumbi kwahiyo hamna akili. Mnafurahia timu
 
Back
Top Bottom