Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Mimi ni mhehe, na nimetokea Kalenga

Sisi watu wa Kalenga hatuna tabia ya kuzomea, kama hatukutaki tunakuambia usoni bila kuficha

CCM Itashinda kwa kishindo kalenga, na kama ikiwa tofauti mimi nitarudi Kalenga kwa miguu kutoka huku

Cdm imekwisha kilichobaki ni kwenda kuzikwa.
Kata 3
Chopa 3 imewakatisha tamaa.
 

kinacho nishanzanga zaidi, ni waziri wa wizara nyeti, hambayo kama taifa tuna mtegemea sana katika kukuza uchumi wetu, akika mtu huyu ananifanya niidharau sana serekali ya nchi yangu. watu kama mwigulu na akili zao na mambo anayo yafanya yame mfanya awe waziri it's weird kwakweli....
 
Mimi ni mhehe, na nimetokea Kalenga

Sisi watu wa Kalenga hatuna tabia ya kuzomea, kama hatukutaki tunakuambia usoni bila kuficha

CCM Itashinda kwa kishindo kalenga, na kama ikiwa tofauti mimi nitarudi Kalenga kwa miguu kutoka huku

Acha ujinga wewe utembee kwa mguu toka wapi au unataka kila mtu ajue upo Uk.
 
Wote watatu hapo juu HAZIIIMO.HAZIMO KABISA....Siasa zetu ni za kitoto tena kitoto kweli
 

Mwigulu anasema"Mchakamchaka Unaendelea Kalenga,Hii leo 28/02/2014 kazi imefanyika Kijiji Cha Kidamali.Tunafanya kazi ya Kuhakikisha Tar.16/03/2014 Ushindi wa Kishindo Unapatikana kwa Chama Cha Mapinduzi.
Asanteni Wanakalenga Kijiji Cha Kidamali,Kura Zote za NDIO Kwa Kijana Godfrey William Mgimwa.
UMOJA NI USHINDI"

MY TAKE:Kwa upepo Ulivyo huku Kalenga,Ni bora CHADEMA Wakajitoa Mapema Kwenye Uchaguzi Kuliko aibu wanayokwenda Kukutana nayo,Yaani kila kijiji ukipita Vijana wanamuunga Mkono Godfrey.Chadema wanafanya kazi ya Kuzunguka tu na Magari yao ya M4C,Kwenye Kijiji cha Kidamali tumekutana na Vijana Sita Kutoka ARUSHA wamepangishiwa Nyumba na Chadema kwaajili ya kazi maalumu"Sijui kama sio Tindikali".
Pia nahofia Chadema inakwenda Kufilisika Kabisa,Ngoma inahamia Chalinze mapema mweziz wa Kesho,Kalenga mtapigwa kwa kishindo,Chalinze je Mtasimamisha??
 
Kweli kuna ufundi wa kupiga picha ili ionekane kama vile watu walikuwa ni wengi saaaana. Yaani unahakisisha unapiga kwa karibu kiasi kwamba eneo lililo tupu la uwanja unahakikisha umelikatia nje ya picha. Hongereni sana CCM. Kuna watu huwezi ukawandanganya kwa njia rahisi hivyo.
 
kwa ujinga wetu watu wanakubali kutumika kwa maslahi ya wengine """"mchawi mpe mwanao amlee"""""""
 
Ripoti za Kalenga zagongana

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Chadema haya maneno yanayoendelea yakipuuzwa jueni yana madhara
Mwenye akili atakuwa amenielewa
 
Mwigulu Nchema anazalilisha mkuu wake (JK) na serikali yake maana kama anaoushahidi apeleke kwa polisi ili wafanye kazi yao na siyo kwa wana ccm wa Kalenga (maana naona kwenye picha ni wanaccm pekee). Huu mchezo anaocheza Mwigulu anajichosha maana Dr. Slaa yupo Kalenga na atajibu vema huo uzushi.
 
Mtu mzima anapokubali kufanywa toy na kijana mdogo kama mwigulu inatia shaka upeo wake wa kufikiri.
 

Mwigulu usitafute huruma kwa wananchi, unyama wenu tunaujua. je mkakati wako wa kubambikia kesi viongozi wa chadema uliishia wapi baada ya kubwgwa mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…