Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Michango yenu inaonyesha ni jinsi gani mnafurahia binadamu wenzenu kuwa vilema au kufa huo ndio ushindi wenu bila shaka kwa taharifa yenu hamtapata madaraka nchi hii kwa style hiyo shame cdm.
 
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.

Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa

do you use your head??!! mwigulu anavyowaanika hao hawageuzi kuwa mtaji wa siasa au hao si watu ni midoli?

Chadema chama cha ajabu sana tangu nianze kufuatilia siasa nasikia kinauwa watu kila kukicha ni chama cha kihuni kweli.
 
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!

Kuna familia za Masoud Mbwana, Familia Za Msafiri Mbwambo wa USA RIver aliyechinjwa na kiongozi wa CCM,Familia za Wale ndugu zetu waliouawa kwa Bomu Arusha baada ya Mwigulu kutoa tahadhari ya hasira kwa watu ikiwa wataenda kwenye mikutano ya CHADEMA
 
Sijui wanawauwa na kuwaumiza kwa maslahi ya nani ni watu wa ajabu sana kwenye hii dunia.
 
ibony fm watamwekea ile kitu " kaoge"

yawezekana hajaoga, mbona hajawakusanya wale wa mabomu ya ar, risasi ya moro, na bomu la nyololo.
watu wazima si watoto wawe wepesi kusahau mapema hivi,
hiyo nayo ni sera ya maendeleo?
 
Kuna familia za Masoud Mbwana, Familia Za Msafiri Mbwambo wa USA RIver aliyechinjwa na kiongozi wa CCM,Familia za Wale ndugu zetu waliouawa kwa Bomu Arusha baada ya Mwigulu kutoa tahadhari ya hasira kwa watu ikiwa wataenda kwenye mikutano ya CHADEMA
Hayo yote yalifanywa na wanachadema nini ambacho hujui hata wewe ulikuwa na kazi yako ya kummaliza dogo imekushinda mchana kweupe.
 
Madhambi yote wanayofanya chadema mungu kaandika lazima wayalipe kwa namna yoyote ile.
 
Wengine wanaposema serikali ya Kikwete ni dhaifu, watu mnabisha, haya Mwigulu katuthibitishia na anaendelea kututhibitishia hilo, wahalifu wanajulikana, inakuaje wanaachiwa watembee tu? Kwani jeshi la polisi linamwogopea nini Dr. Slaa na genge lake!?
 
Nonsense! Mwigulu hamnazo kabisa ; kwanza hizo kazi za wizara unafanya saa ngapi full kuzurura? Waachie Nape na Kinana wapige kelele. Anyway, aliyekupa wizara ni kilaza kama wewe!!!
 
Siasa ni mchezo wa ajabu sana, naona hao wahanga hapo hiyo ni sehemu yao ya kujipatia chochote, kama inatamkwa wazi kuwa ni Dr.Slaa na watu wake wanahusika, Je, vyombo vya dola viko wapi? na hapo utajua kwamba siasa chafu inayoendeshwa na Mwigulu Nchemba na CCM yake.

Pia najiuliza kwanini haya yanafanyika wazi hivi na CDM wanakaa kimya huku wakijua huu ni uwongo, kwanini hawachukui hatua ya kumshtaki Mwigulu na hao vijana wake.
 
Hapa vyama vya walemavu na watetezi wa haki za binadamu inabidi wakemee tabia hii,ya kuwafanya binadamu wenzio samples za kuombea kura kwa ajili ya matumbo ya wachache.Kitendo hiki anachokifanya naibu waziri wa fedha hakikubaliki hata kidogo.
Nadhani njaa ya hao wahanga imewafanya wakubali kuukana ubinadamu wao watumiwe kama sample.
 
Michango yenu inaonyesha ni jinsi gani mnafurahia binadamu wenzenu kuwa vilema au kufa huo ndio ushindi wenu bila shaka kwa taharifa yenu hamtapata madaraka nchi hii kwa style hiyo shame cdm.

Wanaofurahia vilema vya binadamu wenzao na waliowafanya wakalemaa ni CCM ili wawatumie kama mtaji wa kuwaletea kura kama wanavyofanya hivi sasa.Na hii ni mojawapo ya laana itakayoifanya CCM ing'olewe madarakani kwa kumpa kilema binadamu mwenzako ili uwe mtaji wa kujinufaisha mwenyewe.
 
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
Inaelekea wewe ni zile design ............ kama Migulu akisema umpe .. u.....pa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…